Asante ilabado nasema siombaya ukombozi umefika nisasaKulikuwa na uzi wenye barua hiyo umeondolewa na mods. Barua inaongelea kuwa kamati kuu ya chadema imeridhia kwa kauli moja chadema na ACT kushirikiana na unasema kamati imekubaliana na maamuzi ya tume kumsimamisha mgombea urais mpk tarehe 9/10
Nyingi tu ikiwemo ya siasa!
Magufuli atapewa adhabu lini?Unaelewa kuwa Magufuli anavunja sheria za uchaguzi kuliko mgombea yeyote yule Tanzania?Kama Lisu anajiona yupo juu ya sheria, aendelee Leo na kampeni
Msikilize mwenyekiti ataongea.CCM hii ambayo mgombea wake amefika hatua ya kupiga magoti kuomba kura??
Usikurupuke kuongea mkuu,kikao kilikuwa kinahusu kushirikiana kimkakati na ACT ukiachilia mambo mengineHapa hakuna la maana hata kama wamekesha. Mgombea alishasema anaendelea na kampeni, Sasa kamati kuu inakesha kwasabb gani? Mbowe mwoga Sana huyu
Huyo mfanyabiashara anafanya biashara ya kumuuza mama yako?Ni jambo jema!
Mbowe ni mfanyabiashara na Tundu Lisu ni mwanaharakati so maslahi yao siasani ni tofauti sana.
Maendeleo hayana vyama!
Na kitaendelea kuwa hivo hivo but Ikulu Hapana, Watanzania tunawapa baraka zote na kusimama na nyie kuwa Chama kikuu cha upinzani hakijawahi kutokea tangu kuasisiwa kwa taifa letu pendwa but Magogoni Hapana.Lissu na CHADEMA sio wapuuzi kama ccm na vijana wake wa Lumumba ndio maana wameweza kuwa chama kikuu cha upinzani kilicho tishio na chenye nguvu sana
Mkuu mbona unakurupuka,Lissu alisema so far ataendelea na mikutano kama kawaida unless kamati kuu ije na maamuz tofauti;sasa ulitaka collective respo. ya aina gani?alichokosea ni wapi?Jenga hoja ukiwa na taarifa zinazojitoshelezaLissu ni mgombea wa Chadema sio mgombea binafsi. Anatakiwa kujifunza collective responsibility. Si sahihi kuibuka tu hadharani na msimamo wake bila kujadiliana na wenzake ndani ya chama.
Wewe mbulula, kasome kanuni za tume ya uchaguzi ndipo uje na upuuzi wako huu! Na hii ndiyo hasara ya kumsikiliza Sana polepole! Tume na imechemka!Mzee wa Faru John kaamua kutoka mafichoni, Tunajua mmejipanga kutaka kuleta stori zenu za kulialia, wakati sheria mmevunja wenyewe, tulieni kama mnanyolewa sheria ishafanya kazi yake, nyie ndo mnaanza kutetemeka kama mbuzi wa kafara, hahaha.
Watanzania tutaichagua CCM, na Tutamchagua Magufuli
Wakiyumba msimamo mi siendi kupiga kura. Nautaka msimamo uleule wa Lissu.Mkuu nadhani tuwe watulivu tusubiri maamuzi maana kamati kuu ina wajumbe zaidi ya 20 so lazima wame debate na kuweka options zote mezani wakaona ipi ina faida kubwa zaidi.
Maana huu ni mtego wa CCM kuona reaction kwa hiyo kutakachoamuliwa leo ndio kitaamua hatma ya upinzani hapo October 28.
Tafsiri ya ku mess up katika hoja yako ni ipiCCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisi
unawakilisha watz?!?! nani kakupa jukumu hilo...we sema unawikilisha vibaraka wa watawala.Mzee wa Faru John kaamua kutoka mafichoni, Tunajua mmejipanga kutaka kuleta stori zenu za kulialia, wakati sheria mmevunja wenyewe, tulieni kama mnanyolewa sheria ishafanya kazi yake, nyie ndo mnaanza kutetemeka kama mbuzi wa kafara, hahaha.
Watanzania tutaichagua CCM, na Tutamchagua Magufuli
Wapinzani Tanzania na saikolojia ya kushindwa.. Watanzania hatutaki kauli zitakazovunja AMANI yetu.
Relax, wewe umezisoma na mimi nimezisoma pia, kama umeona kuna sehemu nimepindisha ungeleta uthibitisho hapa, hasara kubwa mliyonayo nyie wazee wa ufipa ni moja tu, mnajua ukweli halafu mna ufanya uwe uongo.Wewe mbulula, kasome kanuni za tume ya uchaguzi ndipo uje na upuuzi wako huu! Na hii ndiyo hasara ya kumsikiliza Sana polepole! Tume na imechemka!
Nasemaje watanzania tutamchagua Magufuli, wembe ni ule ule ushindi tu.Jisemee wew sio watanzania wote watamchagua jiwe
hawatokuwa na jipya zaidi ya kujaribu kuongea kauli za uchochezi tu. Sisi Tutasimamia penye Amani na maendeleo. CCM TutaichaguaMzee wa Faru John kaamua kutoka mafichoni, Tunajua mmejipanga kutaka kuleta stori zenu za kulialia, wakati sheria mmevunja wenyewe, tulieni kama mnanyolewa sheria ishafanya kazi yake, nyie ndo mnaanza kutetemeka kama mbuzi wa kafara, hahaha.
Watanzania tutaichagua CCM, na Tutamchagua Magufuli
NAKAZIA TENA KWA HERUFI KUBWA WATANZANIA TUTAMCHAGUA MAGUFULI. WEMBE NI ULEULE USHINDI TU.unawakilisha watz?!?! nani kakupa jukumu hilo...we sema unawikilisha vibaraka wa watawala.
Upo Tanzania kweli wewe? Au upo Ubelgiji?CCM mpya chini ya Bashiru na Chakubanga mbona imeacha kuongelea mambo ya madege na madaraja? Walidhani mwanzoni kuwa wananchi watakula madaraja? Sasa kama wanajua kusoma alama za nayakati wasome. Huu uchaguzi waki mess up wanakwenda kupigwa vikwazo siyo vya dunia hii.. Yaani sisi