Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Hapana sio kweli, weka jina la hiyo ofisi hapa tukathibitishe wenyewe wadau kama wewe unaogopa kutuletea ushahidi.
 
Hamna kitu hapo. Ni upigani wa magu tu.
 
Aiseeeh propaganda mnazijua kwakweli [emoji2][emoji2]
Binafs mimi hapa naapa kwajina lamungu kazi yangu kilimo na uvuvi nimuathirika wa uvuvi nimekatwa miguu hakika mungu ananiona angalau lisu kasema anatulipa wavuvi . Bomoabomoa.

Vyeti feki. Kupandisha mishahara namadaraja kwawatumishi uhuru namaendeleo ya watu.

Nafikiri tuungane tumpe huyo japo namm ni ccm mwenzako
 
Mbona unapiga rungu hoja yangu, lete hoja yako na wewe kwa nini hamna kitu?
Ukhoji tu hupewi majibu unatumiwa Takukuru, uhamiaji na wasiojulikana. Mbona giza nene kwenye hiyo miradi?? Infact ni miradi ya magufuli sio ya ccm wala taifa la tanzania
 
Hapana sio kweli, weka jina la hiyo ofisi hapa tukathibitishe wenyewe wadau kama wewe unaogopa kutuletea ushahidi.
Hutafuti ofice unanitafuta mm tembelea mwambao waziwa tanganyika na mpaka sasa store ipo ikola mkoa wakatavi
 
Ukhoji tu hupewi majibu unatumiwa Takukuru, uhamiaji na wasiojulikana. Mbona giza nene kwenye hiyo miradi?? Infact ni miradi ya magufuli sio ya ccm wala taifa la tanzania
Mimi si nimekupa ufafanuzi hapo, au unataka ufafanuzi wa jambo gani tena, wewe si umeulizia kuhusu uwanja wa ndege wa chato?
 
Vp mbona hatuoni hata dalili!!!
au mwenyekiti kaingia mitini
 
Chadema itapanda mbele pale Lissu atachukua uenyekiti wa chama na Robert Amsterdam apewe mwanasheria wa chama na mshauri wa mambo ya nje.....hapo Miccm itajinyea
 


Sasa mkuu kama unachokisema hapa ni kweli,jaribuni kutafuta namna ya kupata haki yenu kwa vyombo husika/mamlaka za juu,


Ujinga huo unafanywa na baadhi ya watendaji kwa tamaa zao binafsi na si kwamba wanafanya hivyo kwa mujibu wa sheria,


Fuatilieni bila kuchoka mtapata tu haki yenu na hao jamaa watachukuliwa hatua
 
Chadema itapanda mbele pale Lissu atachukua uenyekiti wa chama na Robert Amsterdam apewe mwanasheria wa chama na mshauri wa mambo ya nje.....hapo Miccm itajinyea
Mmh! Acha uccm wako hapa. Mbowe ni credible leader nenda kwa magufuli huko tuachie chama chetu.
 
Eti harufu ya uwoga!! Ni mpumbavu tu ndo atakaye msuport lissu kwenye jinsi namna anavyo fanya siasa zake za personal attack minus sera ndani yake.
Mmemaliza miaka mitano mnawatukana, kuwadhalilisha na kukandamiza uhuru na haki za wapinzani na wananchi kwa ujumla.
Sasa ni wakati kwenu kulipa. Wengine weshaanza kuzurura na VIYOYOZI.
Hakuna kelele wala vitisho vyenu vitakavyoweza kuzuia, MTALIPA 28/10.
Makaburu SA, pamoja na kujenga 'midaraja' na kununua 'midege' zaidi ya mara elfu kuliko NYIE, kwa kuwa waliacha maendeleo ya kweli ya wananchi, walitupwa.
 
Tujiunge live na matangazo ya moja kwa moja[emoji116]
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…