Mac Alpho
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 13,953
- 27,825
Ngoja tuwasubiri, muda si mrefu Taifa la Jf litazizima[emoji2][emoji2].Muda ndo huo unawadia wa kuskiliza IPP za mzee wa Faru John Na chama chake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tuwasubiri, muda si mrefu Taifa la Jf litazizima[emoji2][emoji2].Muda ndo huo unawadia wa kuskiliza IPP za mzee wa Faru John Na chama chake.
Hapana sio kweli, weka jina la hiyo ofisi hapa tukathibitishe wenyewe wadau kama wewe unaogopa kutuletea ushahidi.Kama hajakukuta mshukuru mungu kwabahati mbaya nimeviacha vifaa mwambao waziwa tanganyika mm nipo kgm mjini kwasasa nikupe stori fupi walipo kuja haotokomeza uvuvi hrm walifika kwetu walituomba tuwaonyeshe nyavu iliwazipime kama zipo sahihi sisi tulitekeleza tukawaonyesha kilicho fata zipo sawa toeni hela kama hamna pesa tunazichoma kweli walizichoma nawakateka mashine zaboati tulizo kuwa tunatumia kama usafiri mpaka sasa wanazo wanatuambia tukazinunue kwao engeine zetu hatudanganyi huu niukweli mtupu wavuvi wangi tumejaa uwoga hatujui kesho yetu
Umelisaidia taifa kwa kipi?Kama uinsane wake umeweza kubadili Tanzania kiasi hiki, basi ni mzuri kwa nchi
Chama cha watu mrendamrenda, MpechempecheNgoja tuwasubiri, muda si mrefu Taifa la Jf litazizima[emoji2][emoji2].
Hamna kitu hapo. Ni upigani wa magu tu.Ngoja nikutoe tongotongo hapa kuhusu matumizi ya uwanja wa Chato. Chato airport its a strategic hydrome airport, yaani msaidizi wa kiwanja cha kimataifa cha ndege cha Mwanza, popote kunapokuwa na uwanja wa ndege wa kimataifa ni muhimu kuwe na kiwanja cha kimkakati pembezoni mwa kiwanja hicho, ili kusaidia majambo mbalimbali yahusuyo usafiri huo wa anga...
[emoji23][emoji23]Chama cha watu mrendamrenda, Mpechempeche
Mbona unapiga rungu hoja yangu, lete hoja yako na wewe kwa nini hamna kitu?Hamna kitu hapo. Ni upigani wa magu tu.
Binafs mimi hapa naapa kwajina lamungu kazi yangu kilimo na uvuvi nimuathirika wa uvuvi nimekatwa miguu hakika mungu ananiona angalau lisu kasema anatulipa wavuvi . Bomoabomoa.Aiseeeh propaganda mnazijua kwakweli [emoji2][emoji2]
Ukhoji tu hupewi majibu unatumiwa Takukuru, uhamiaji na wasiojulikana. Mbona giza nene kwenye hiyo miradi?? Infact ni miradi ya magufuli sio ya ccm wala taifa la tanzaniaMbona unapiga rungu hoja yangu, lete hoja yako na wewe kwa nini hamna kitu?
Hutafuti ofice unanitafuta mm tembelea mwambao waziwa tanganyika na mpaka sasa store ipo ikola mkoa wakataviHapana sio kweli, weka jina la hiyo ofisi hapa tukathibitishe wenyewe wadau kama wewe unaogopa kutuletea ushahidi.
Mimi si nimekupa ufafanuzi hapo, au unataka ufafanuzi wa jambo gani tena, wewe si umeulizia kuhusu uwanja wa ndege wa chato?Ukhoji tu hupewi majibu unatumiwa Takukuru, uhamiaji na wasiojulikana. Mbona giza nene kwenye hiyo miradi?? Infact ni miradi ya magufuli sio ya ccm wala taifa la tanzania
Atakachoamua Tundu Lissu na Mbowe ndio kitakuwa sahihi wala hatuna presha.Vp mbona hatuoni hata dalili!!!
au mwenyekiti kaingia mitini
Kama hajakukuta mshukuru mungu kwabahati mbaya nimeviacha vifaa mwambao waziwa tanganyika mm nipo kgm mjini kwasasa nikupe stori fupi walipo kuja haotokomeza uvuvi hrm walifika kwetu walituomba tuwaonyeshe nyavu iliwazipime kama zipo sahihi sisi tulitekeleza tukawaonyesha kilicho fata zipo sawa toeni hela kama hamna pesa tunazichoma kweli walizichoma nawakateka mashine zaboati tulizo kuwa tunatumia kama usafiri mpaka sasa wanazo wanatuambia tukazinunue kwao engeine zetu hatudanganyi huu niukweli mtupu wavuvi wangi tumejaa uwoga hatujui kesho yetu
Mmh! Acha uccm wako hapa. Mbowe ni credible leader nenda kwa magufuli huko tuachie chama chetu.Chadema itapanda mbele pale Lissu atachukua uenyekiti wa chama na Robert Amsterdam apewe mwanasheria wa chama na mshauri wa mambo ya nje.....hapo Miccm itajinyea
Basi twendeni kaziAtakachoamua Tundu Lissu na Mbowe ndio kitakuwa sahihi wala hatuna presha.
Mmemaliza miaka mitano mnawatukana, kuwadhalilisha na kukandamiza uhuru na haki za wapinzani na wananchi kwa ujumla.Eti harufu ya uwoga!! Ni mpumbavu tu ndo atakaye msuport lissu kwenye jinsi namna anavyo fanya siasa zake za personal attack minus sera ndani yake.