Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

Kuna harufu ya uwoga hapa.

Sasa mgombea ataanza saa ngapi kampeni za leo? Hapa tushapata majibu tayari. Kamati kuu imeufyata kwa tume.
Kwani mgombea si alikuwa na mapumziko ya siku mbili?
 
Barb Usiwe too emotional, kuna watu wanafanya kazi kubwa ili haya yanayokupa emotion yatokee. Na hizo kazi zinaacha makovu.


Mimi siko emotional ni kwa sababu tu haunijui, mimi natumia logic ambayo labda wengi wenu hamuitumii, Mbowe anajua kwamba Tundu hawezi kushinda Uraisi wa JMTZ lkn bado anataka (Mbowe) kuwa relevant baada ya 2020 hivyo ni lazima ashinde Ubunge ili aweze kuendelea kuwa relevant, anajua akimfwata tundu Tume yetu iliyoko Kikatiba itachukua hatua stahiki siajabu ya Serikali za Mitaa kutokea na Mbowe kupoteza Ubunge, hakuna zaidi ya hapo, kwa kifupi mnachezewa tu na hawa Wanasiasa lkn wapo kwa maslahi yao binafsi, ...
 
Mimi siko emotional ni kwa sababu tu haunijui, mimi natumia logic ambao labda wengi wenu hamuitumii, Mbowe anajua kwamba Tundu hawezi kushinda Uraisi wa JMTZ lkn bado anataka (Mbowe) kuwa relevant baada ya 2020 hivyo ni lazima ashinde Ubunge ili aweze kuendelea kuwa relevant, anajua akimfwata tundu Tume yetu iliyoko Kikatiba itachukua hatua stahiki siajabu ya Serikali za Mitaa kutokea na Mbowe kupoteza Ubunge, hakuna zaidi ya hapo, kwa kifupi mnachezewa tu na hawa Wanasiasa lkn wapo kwa maslahi yao binafsi, ...
wewe ni mbwa mhunimuuaji mganga njaa, ole wako siku nikuone live ntakachokufany ahutasahau, shetani mkubwa wewe
 
Mimi siko emotional ni kwa sababu tu haunijui, mimi natumia logic ambayo labda wengi wenu hamuitumii, Mbowe anajua kwamba Tundu hawezi kushinda Uraisi wa JMTZ lkn bado anataka (Mbowe) kuwa relevant baada ya 2020 hivyo ni lazima ashinde Ubunge ili aweze kuendelea kuwa relevant, anajua akimfwata tundu Tume yetu iliyoko Kikatiba itachukua hatua stahiki siajabu ya Serikali za Mitaa kutokea na Mbowe kupoteza Ubunge, hakuna zaidi ya hapo, kwa kifupi mnachezewa tu na hawa Wanasiasa lkn wapo kwa maslahi yao binafsi, ...
Poa
 
Baada ya akusikiliza kwa makini yangu ni haya yafuatayo:-
1. Mhe. Mbowe unaposema chama chenye ushindani na CCM ni Chadema peke yake huoni unadhalilisha vyama vingine vya upinzani. Hata Chadema ilianza mdogo mdogo leo ipo hapo ilipofikia. MBONA UNAUA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI?

2. Mhe. Mbowe unaposema kura za vya vitatu tu kati ya vyama karibu 17 ndio vimepinga kusimamishwa kwa Lissu huoni hiyo ni DEMOKRASIA???

3. Mhe. Mbowe! Kwanini mmeamua kuungana baada ya kuona maji yapo shingoni? Mhe. Membe alisisitiza sana muungane mkamgomea! Leo uchaguzi umebaki siku 24 na mmeambiwa maandalizi yamekwisha ndio mnaungana! Huko ni kutafuta nongwaaaa baada ya kuona mmeshindwa!! Waliokiunga CCM walifanya hivyo kabla kipenga hakijapulizwa. Sasa kipenga kimepulizwa imebaki kama robo kazi iishe mnataka kuungana!! Mwogopeni Mungu wajameni!!

4. Hatujaona mahali mnakemea wana CCM wanaouliwa na kujeruhiwa na wafuasi wenu. Mkt wa CCM Taifa Dr. Magufuli aliwatangazia wanachama wake kisasi ni cha Mungu!! Akaonya wasilipize kisasi!! Huo ni uungwana wa hali ya juu.

5. Ratiba za kampeni kila chama kilipeleka chenyewe kwenye Tume. Leo unalalamikia ratiba uliyotengeneza mwenyewe!! Mambo ya ajabu kabisa na ni kuleta vurugu kwenye nchi!! Mlipoanza mashindano mlikutanishwa wote na mkasaini, leo unasema huyu atolewe! DEMOKRASIA gani hiyo! Hivyo vyama navyo vinafuta fursa na vitakua kama Chadema. Kumbuka kulikuwa na chama chenye nguvu kabla ya Chadema na hawakusema Chadema inaunga mkono CCM.

6. Kila chama kiliwasilisha Tume majina ya watakaopiga kampeni. CCM iliwasilisha majina na Waziri Mkuu ni Mjumbe wa Kamati kuu na jina lilipendekezwa na anapiga kampeni. Sasa nini kinakusumbua?? Mbona Chadema mmetengeneza orodha yenu na hakuna anayewauliza?

Mwisho niseme tu! Tayari mmeona uwezekano wa kushinda ni sawa na ngamia kuingia kwenye tundu la sindano mmeanza kutoka kwenye hoja mpo kwenye viroja! Mnahubiri kusimamia sheria leo mnataka Tume ipindishe sheria. JITAFAKARINI!! WATANZANIA HAWATAKI VURUGU!!! SANDUKU LA KURA LIACHWE LITAAMUA!!! DEMOKRASIA IACHWE ICHUKUE MKONDO WAKE!!!!
 
Ndiyo mwisho hapo au bado anaendelea kusoma hotuba yake? Natamani kusikia kuhusu maamuzi yao kutokana na adhabu aliyopewa Lissu na Kamati ya Maadili ya Uchaguzi 2020!!
 
Baadhi ya Wajumbe wa kamati kuu ni hawa
Mbowe,salum mwalim,heche,lissu
Cdm chama changu mmenikera sana
 
Hapana hiki ni chama makini sana na kinajua kwa hakika kifanye nini kwenye nini na wakati gani...
Nakushukuru kaka Mshana umetuliza vyema hasira zilizojaa moyoni mwangu asante umeifufua siku yangu niliyo hisi imeharibika.
 
Back
Top Bottom