Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,637
He he hee, jamaa eti anataka kupiga picha na vipaza sauti ila anaogopa ataonekana mshamba. Mpaka meenzakr kamstua kwanba wapo Live
----
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
----
Kwani mgombea si alikuwa na mapumziko ya siku mbili?Kuna harufu ya uwoga hapa.
Sasa mgombea ataanza saa ngapi kampeni za leo? Hapa tushapata majibu tayari. Kamati kuu imeufyata kwa tume.
Mimi nasema hivi hiki chama alistahili kukiongoza TL
Mbowe ni muoga sana zitafuata bla blah tu hapa hamna lolote.
Barb Usiwe too emotional, kuna watu wanafanya kazi kubwa ili haya yanayokupa emotion yatokee. Na hizo kazi zinaacha makovu.Wameufyata mamaye na bado, ...
Mtego wenu wameung'amua pumbavu wakubwa nyie!Wameufyata mamaye na bado.
Ila Mbowe naye amekuwa mpole mno huu ustaarabu wake siyo kabisa! Anatakiwa kila anapomaliza kusema maamuzi ya hovyo aseme "maamuzi ya kijinga kabisa"Tume ya uchaguzi utaaibika soon
Barb Usiwe too emotional, kuna watu wanafanya kazi kubwa ili haya yanayokupa emotion yatokee. Na hizo kazi zinaacha makovu.
wewe ni mbwa mhunimuuaji mganga njaa, ole wako siku nikuone live ntakachokufany ahutasahau, shetani mkubwa weweMimi siko emotional ni kwa sababu tu haunijui, mimi natumia logic ambao labda wengi wenu hamuitumii, Mbowe anajua kwamba Tundu hawezi kushinda Uraisi wa JMTZ lkn bado anataka (Mbowe) kuwa relevant baada ya 2020 hivyo ni lazima ashinde Ubunge ili aweze kuendelea kuwa relevant, anajua akimfwata tundu Tume yetu iliyoko Kikatiba itachukua hatua stahiki siajabu ya Serikali za Mitaa kutokea na Mbowe kupoteza Ubunge, hakuna zaidi ya hapo, kwa kifupi mnachezewa tu na hawa Wanasiasa lkn wapo kwa maslahi yao binafsi, ...
Mtego wenu wameung'amua pumbavu wakubwa nyie!
PoaMimi siko emotional ni kwa sababu tu haunijui, mimi natumia logic ambayo labda wengi wenu hamuitumii, Mbowe anajua kwamba Tundu hawezi kushinda Uraisi wa JMTZ lkn bado anataka (Mbowe) kuwa relevant baada ya 2020 hivyo ni lazima ashinde Ubunge ili aweze kuendelea kuwa relevant, anajua akimfwata tundu Tume yetu iliyoko Kikatiba itachukua hatua stahiki siajabu ya Serikali za Mitaa kutokea na Mbowe kupoteza Ubunge, hakuna zaidi ya hapo, kwa kifupi mnachezewa tu na hawa Wanasiasa lkn wapo kwa maslahi yao binafsi, ...
Kuna harufu ya uwoga hapa.
Sasa mgombea ataanza saa ngapi kampeni za leo? Hapa tushapata majibu tayari. Kamati kuu imeufyata kwa tume.
Hahahahahahahhahahagahawewe ni mbwa mhunimuuaji mganga njaa, ole wako siku nikuone live ntakachokufany ahutasahau, shetani mkubwa wewe
Chadema live....link hii hapa
Nakushukuru kaka Mshana umetuliza vyema hasira zilizojaa moyoni mwangu asante umeifufua siku yangu niliyo hisi imeharibika.Hapana hiki ni chama makini sana na kinajua kwa hakika kifanye nini kwenye nini na wakati gani...