kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Utawala wa sheria maana yake nini?
Kama Watuhumiwa wakipotea chadema hawataki na wakipelekwa chadema mahakamani hawataki pia, Wanataka nini?. Kuchoma mali za umma na za wengine hata ukiwa na madai yako binafsi au ukiwa umekasirika sio demokrasia, tuache ujinga.
Haki za wengine hawana habari nazo isipokuwa haki zao tu. Hivi ni kweli watanzania woooooooote wanataka kuandamana, wanataka Katiba, wanataka vurugu, hawataki kwenda Sabasaba, nk.
Hebu tuongeze nguvu katika kuwatetea watuhumiwa huko mahakamani walikopelekwa kujibu tuhuma zao badala ya kutoa vitisho kwa wale waliotimiza utawala wa sheria kuwapeleka watuhumiwa.
Maandamano ni watu bila watu hakuna maandamano ya mtu mmoja. Watanzania walikaa nyumbani kuonyesha kuwa hawaungi mkono maandamano yanayoitishwa.
Kama sio mahakamani wawapeleke wapi, wawateke?
View: https://www.youtube.com/live/TWyqw8zuVyM?si=seLhVfwRnnEGj7A1