MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Hii CHADEMA ya sasa imejaa wahuni wanaotafuna michango ya wanachama wao kama wendawazimu. Ile CHADEMA ya Januari 5, 2011 ilikuwa CHADEMA iliyopendwa sana kiasi kwamba watu walikuwa wanasapoti bila kushawishiwa wala kulazimishwa. Nakumbuka watu walikesha pale kwenye uwanja ambao kwa sasa kuna soko karibu na relini Arusha wakisapoti CHADEMA. Ila kwa sasa wameshagundua CHADEMA ni takataka kama takataka zingine.