CHADEMA wanataka haki bila wajibu, watoe darasa kwa umma.

CHADEMA wanataka haki bila wajibu, watoe darasa kwa umma.

Utawala wa sheria maana yake nini?

Kama Watuhumiwa wakipotea chadema hawataki na wakipelekwa chadema mahakamani hawataki pia, Wanataka nini?. Kuchoma mali za umma na za wengine hata ukiwa na madai yako binafsi au ukiwa umekasirika sio demokrasia, tuache ujinga.

Haki za wengine hawana habari nazo isipokuwa haki zao tu. Hivi ni kweli watanzania woooooooote wanataka kuandamana, wanataka Katiba, wanataka vurugu, hawataki kwenda Sabasaba, nk.

Hebu tuongeze nguvu katika kuwatetea watuhumiwa huko mahakamani walikopelekwa kujibu tuhuma zao badala ya kutoa vitisho kwa wale waliotimiza utawala wa sheria kuwapeleka watuhumiwa.

Maandamano ni watu bila watu hakuna maandamano ya mtu mmoja. Watanzania walikaa nyumbani kuonyesha kuwa hawaungi mkono maandamano yanayoitishwa.

Kama sio mahakamani wawapeleke wapi, wawateke?

View: https://www.youtube.com/live/TWyqw8zuVyM?si=seLhVfwRnnEGj7A1

Makala nzuri sana comrade. Keep it up.
 
Kwahiyo hii ndio HAKI kwa akili za kiccm wewe zezeta?

Watanzania gani walikataa maandamano? au ulimaanisha wale UVCCM waliolipwa wapose kama machinga ,bobaboda nk ?

Unajaza polisi na wanajeshi barabarani halafu unasema una utulivu na amani na watu wamegoma kuandamana?
 
Wasichokijua ni kwamba wao sio wa kwanza, walikuwepo akina Kambona, Rugakingira, Chipaka, Njelu na G55 yao, Horace Kolimba, Lyatonga, Mtikila, Maalim, nk. Bahati yao safari hii tuna Rais mwenye exposure kubwa, smart, mama, alietaalamika, mweye weledi na mpole. Watachoka sana kabla hawajafika waendako. Wanachokifanya wapinzani ni kitu cha kawaida sana katika demokrasia, labda wanachokosea ni kudhani hata serikali ina woga inaweza kuogopeshwa ikaogopa.

Nakuungana mkono kwa %100

Uko miaka ya
Nyuma walizingua pia lkn majawabu yao yapo👈

Haiwezekani chuo kitafutwe na Serikali ya CCM kisha chuo icho icho kigeuke kijiwe cha Upinzani kisa uhuru wa
kuongea

Tatizo sio uhuru wa kuongea lkn wapi unataka uho uhuru wa kuongea👈

lazima iwe kwenye majumba yaliotafutwa kwa juhudi kubwa za Serikali ya CCM 👈

Hi hapana sio kwenye mejengo ya chuo chochote cha Serikali na ni popote wewe ni mfanyakazi chuoni sio mwekezaji👈

uwezi kudai uhuru wenye ukakasi wkt kila mwezi unalipwa mshahara
Wako upo chini ya mwajili👈

uhuru unamipaka popote ipo ivyo

Yani wapinzani wanapiga Domo Serikali hinyimwe misaada
kimataifa!! tena wanashangilia tukinyimwa👈

Ajabu tena ndani ya nchi Wapinzani wa aina hii watumie majengo ya Serikali kupanga mikakati ya
kuichafua Serikali kwa chochote

Yani kwa kibwaya cha uhuru wa kujieleza ‼️✍️
 
View attachment 3638078
Kwahiyo hii ndio HAKI kwa akili za kiccm wewe zezeta?

Watanzania gani walikataa maandamano? au ulimaanisha wale UVCCM waliolipwa wapose kama machinga ,bobaboda nk ?

Unajaza polisi na wanajeshi barabarani halafu unasema una utulivu na amani na watu wamegoma kuandamana?

View attachment 3638078
Kwahiyo hii ndio HAKI kwa akili za kiccm wewe zezeta?

Watanzania gani walikataa maandamano? au ulimaanisha wale UVCCM waliolipwa wapose kama machinga ,bobaboda nk ?

Unajaza polisi na wanajeshi barabarani halafu unasema una utulivu na amani na watu wamegoma kuandamana?
Wacha nikwambie vile baba yangu alimwambia kaka yangu. Kaka yangu alikuwa anatembea na mke wa mwanajeshi mkubwa tu ambae alikuwa akisafiri sana kikazi. Baba alipozipata khabari zile akamuita na kumgombeza sana kuhusu ubaya wa kutembea na wake za watu hasa mke wa mwanajeshi. Kaka akashupaza shingo, alimkubalia baba kuwa ataachana nae lakini kumbe aliendelea kisirisiri. Baba akagundua kuwa kaka hakuachana na yule mwanamke. Baba akamwambia "Mtu akitaka kufa atafanya kila kitu ili afe hata kwa kuuliwa". Siku akajakufumaniwa na mwenyemke akapigwa hadi akaenda kufia hospitali kesho yake. Yametia maneno ya baba.

Dola ni jambo kubwa sana, kama huna uhakika wa kulishinda ni heri uuangane nalo kama walivyofanya Mch. Peter Msigwa, Katambi, Nasari , Mkumbo na Wenje walivyoungana nalo kuliko kuhangaika na makomandoo walioapa kuilinda Katiba, nchi na Amirijeshi Mkuu wao.

Kushindana na dola ni kujitwisha jukumu kubwa na hatari sana, hata matunda yakebunaweza usiyaone kabisa.
 
Wacha nikwambie vile baba yangu alimwambia kaka yangu. Kaka yangu alikuwa anatembea na mke wa mwanajeshi mkubwa tu ambae alikuwa akisafiri sana kikazi. Baba alipozipata khabari zile akamuita na kumgombeza sana kuhusu ubaya wa kutembea na wake za watu hasa mke wa mwanajeshi. Kaka akashupaza shingo, alimkubalia baba kuwa ataachana nae lakini kumbe aliendelea kisirisiri. Baba akagundua kuwa kaka hakuachana na yule mwanamke. Baba akamwambia "Mtu akitaka kufa atafanya kila kitu ili afe hata kwa kuuliwa".

Dola ni jambo kubwa sana, kama huna uhakika wq kulishinda ni heri uuangane nalo kama Mch. Peter Msigwa, Katambi, Nasari , Mkumbo na Wenje walivyoungana nalo kuliko kuhangaika na makomandoo walioapa kuilinda Katiba, nchi na Amirijeshi Mkuu wao.
0/100.
 
Attachments

  • downloadfile(43).jpg
    downloadfile(43).jpg
    128 KB · Views: 13
Makala nzuri sana comrade. Keep it up.
Vilipuzi umeviona?!
Wilfred Lwakatare aliwahi kushitakiwa kwa Ugaidi na ushahidi Polisi wakaleta Panga dogo na butu na kisururu kidogo...Mpaka Jaji akachukia na kiupa onyo Serikali kuacha kuzua taharuki Nchini kwa kuzusha mambo Mazito yasiyokuwepo..
Hii Hali imerejea tena kwa kasi
 
Vilipuzi umeviona?!
Wilfred Lwakatare aliwahi kushitakiwa kwa Ugaidi na ushahidi Polisi wakaketa Panga dogo na butu na kisururu kidogo...Mpaka Jaji akachukia na kiupa onyo Serikali kuacha kuzua taharuki Nchini kwa kuzusha mambo Mazito yasiyokuwepo..
Hii Hali imerejea tena kwa kasi
Ni Jaji nani huyo? Hata Jaji hawezi kwenda mahakamani kama vurugu zikipamba moto. Ni mpuuzi huyo Jaji. Angalia dhamira ya mleta mashitaka na mjibu mashitaka. Tunahukumu dhamira sio tendo.
 
Wasichokijua ni kwamba wao sio wa kwanza, walikuwepo akina Kambona, Rugakingira, Chipaka, Njelu na G55 yao, Horace Kolimba, Lyatonga, Mtikila, Maalim, nk. Bahati yao safari hii tuna Rais mwenye exposure kubwa, smart, mama, alietaalamika, mweye weledi na mpole. Watachoka sana kabla hawajafika waendako. Wanachokifanya wapinzani ni kitu cha kawaida sana katika demokrasia, labda wanachokosea ni kudhani hata serikali ina woga inaweza kuogopeshwa ikaogopa.
Unaleta habari za Mtikila karne hii ya GenZ mzee kila zama na kitabu chake
 
Unaleta habari za Mtikila karne hii ya GenZ mzee kila zama na kitabu chake
Nakukumbusha tu kuwa nyie sio wakwanza. Kwakuwa huna uhakika ni watanzania wangapi wanakuunga mkono basi Unapoichokoza serikali sema mimi au sisi chadema tunataka........badala ya kusema watanzania wanataka au hawataki....

Mimi napenda amshaamsha za chadema kwakuwa wanasababisha CCM wasibweteke na kulewa madaraka.

Nyerere alisema bila CCM imara nchi itayumba na kiongozi madhubuti anatoka CCM
 
Nyerere huyu aliyeua Tanganyika na akaishia kuandika kitabu tujisahihishe huyu huyu aliyeunga mkono biafra huyu aliesema anaitaji vijana wakihoji sio wa kuitia ndio bwana mkubwa sio huyu alisema anaitaji kiazi jeuri cha kuasi dhidi ya mifumo kandamizi au Nyerere yupi Kiufupi Nyerere sio MUNGU kiufupi Nyerere uenda angekuepo angekua na Lissu gerezani kwa CCM ya sasa
 
Ni Jaji nani huyo? Hata Jaji hawezi kwenda mahakamani kama vurugu zikipamba moto. Ni mpuuzi huyo Jaji. Angalia dhamira ya mleta mashitaka na mjibu mashitaka. Tunahukumu dhamira sio tendo.
CCM siyo..kama ya Mbowe kupanga njama za kutaka kuchoma vituo vya Mafuta Nchini pasipo kujulikana eneo na mahali ambapo vikao hivyo vilifanyikia..wala mihutasari ya vikao??!!CCM mna wazimu..mbona hoja zilikuwa hazijibiki Mahakamani ??
Dhamira mnaishi nayo Lumumba hapo?
 
Nakukumbusha tu kuwa nyie sio wakwanza. Kwakuwa huna uhakika ni watanzania wangapi wanakuunga mkono basi Unapoichokoza serikali sema mimi au sisi chadema tunataka........badala ya kusema watanzania wanataka au hawataki....

Mimi napenda amshaamsha za chadema kwakuwa wanasababisha CCM wasibweteke na kulewa madaraka.

Nyerere alisema bila CCM imara nchi itayumba na kiongozi madhubuti anatoka CCM
Jifari
 
CCM siyo..kama ya Mbowe kupanga njama za kutaka kuchoma vituo vya Mafuta Nchini pasipo kujulikana eneo na mahali ambapo vikao hivyo vilifanyikia..wala mihutasari ya vikao??!!CCM mna wazimu..mbona hoja zilikuwa hazijibiki Mahakamani ??
Dhamira mnaishi nayo Lumumba hapo?
HAyo mtayajua nyie ulikokaa na kupanga kuzichoma kodi zetu. Sisi tunachojua alisema mtachoma na kweli mkachoma kodi zetu na huduma zetu. Sukuma ndani wote!! Tanzania hatuwezi kuwa na kundi kama la M23, Alshababu, Mungiki au Boko haram kamwe. Hiyo ndiyo kazi ya CCM, serikali na majeshi yetu yote. Thamini uhai wako, Usifanye kila kitu ili ufe. Afrika hakuna taifa linaloongozwa vizuri kuliko tz, mengine hayo tunayajua. Ni mwendelezo uleule wa kutaka Samia asiwe Rais baada ya kifo cha Dr. Magufuli (RIP). Tunajuwaaaaaaaa wala msihangaike na kuzuga. Tunajua issue ni zaidi chadema na Lissu, ni genge la wahuni waliojificha chini ya mwamvuli wa chadema na lissu ili ionekane kama issue ni demokrasia. Nakwambia kama wangefanikiwa nao wangetumia Katiba hiihii bila kuibadilisha hata nukta. Issue per se sio Katiba hapa. Mnadhani CCM, Samia na vyombo vyetu ni wazembe kiasi hicho?
 
Hiki ni kiburi cha madaraka na mamlaka mliyonayo.
Kaka hicho sio kiburi, ila inaonekana huna uelewa mpana kuhusu tabia za dola. Dola sio Rais Samia, na hata yeye anaiogopa dola na hata hajui analindwa vipi na kunafanyika vitu gani nyuma ya pazia ili dola kuendelea kuwepo.

Kama hata Rais anaogopa dola sembuse wewe na mimi. Hata Mitume ya Mungu na wanasayansi nguli kabisa duniani hawakufua dafu mbele ya dola. Hata Yesu mwenyewe hakufua dafu mbele ya dola.

Wewe usifanye kila kitu ili ufe, bali waache watanzania wenyewe muda ukifika waiangushe dola yao. Ukweli hakuna utawala ambao uliweza kudumu milele lakini sio wewe peke yako au kakikundi ulazimishe kuiangusha dola. Kufanya hivyo ni kufanya kila kitu ufe ikibidi. Watanzania kwa sasa hawana sababu inayowakereketa saana kiasi cha kutamani dola yao ianguke, wanajiona wako vizuri kuliko nchi zinazowazunguuka. Wako bize mashambani, viwandani, machungani, machimboni na kwenye biashara zao kujitafutia riziki zao. Usiwalazimishe wakuunge mkono kwenye jambo letu maana wewe sio msemaji wao.
 
Back
Top Bottom