CHADEMA wanataka haki bila wajibu, watoe darasa kwa umma.

CHADEMA wanataka haki bila wajibu, watoe darasa kwa umma.

Utawala wa sheria maana yake nini?

Kama Watuhumiwa wakipotea chadema hawataki na wakipelekwa chadema mahakamani hawataki pia, Wanataka nini?. Kuchoma mali za umma na za wengine hata ukiwa na madai yako binafsi au ukiwa umekasirika sio demokrasia, tuache ujinga.

Haki za wengine hawana habari nazo isipokuwa haki zao tu. Hivi ni kweli watanzania woooooooote wanataka kuandamana, wanataka Katiba, wanataka vurugu, hawataki kwenda Sabasaba, nk.

Hebu tuongeze nguvu katika kuwatetea watuhumiwa huko mahakamani walikopelekwa kujibu tuhuma zao badala ya kutoa vitisho kwa wale waliotimiza utawala wa sheria kuwapeleka watuhumiwa.

Maandamano ni watu bila watu hakuna maandamano ya mtu mmoja. Watanzania walikaa nyumbani kuonyesha kuwa hawaungi mkono maandamano yanayoitishwa.

Kama sio mahakamani wawapeleke wapi, wawateke?


View: https://www.youtube.com/live/TWyqw8zuVyM?si=seLhVfwRnnEGj7A1

Haki bila wajibu! Ni haki IPI kapata Lisu kwa kutwangwa risasi 19!?
Makende kabisa
 
Kama watuhumiwa wamepelekwa mahakamani si ndio utawala wa sheria unavyotaka, au mimi sijui maana ya utawala wa sheria?
Ulisoma shule Gani wewe hata uwe mjinga kiasi hiki???
Unalipwa shilingi ngapi??
 
Haki bila wajibu! Ni haki IPI kapata Lisu kwa kutwangwa risasi 19!?
Makende kabisa
Kaka Lissu anapata shida kwasababu amejivisha jukumu ambalo hakutumwa na watu wa jimbo lake la Ikungi wala watanzania. Watu wa Ikungi wanamshangaa na watanzania wanamshangaa vilevile. Ndio maana familia yake, kule Ikungi na watanzania wote wanaendelea na kazi zao za kila siku kama vile hakuna kilichompata kaka Lissu.

Kaka kama anachofanya angekuwa ametumwa na familia yake, watu wa Ikungi na watanzania bila shaka ungeshaliona timbwilitimbwili lake. Heche ndiyo kwanza amempatia ajira ya kufa mtu. Na wale wakora wengine "wanaCCM" wamejificha kwenye mgongo wa kaka Lissu; wamemponza baba wa watu kwa kumpa hakikisho kuwa tangulia gerezani tutakuja kukutoa fasta na kwenda jumba kuu. Walishapanga safu ya nani atakuwa nani.
 
Ulisoma shule Gani wewe hata uwe mjinga kiasi hiki???
Unalipwa shilingi ngapi??
Kaka utawala wa sheria ni maswala yote ya nchi yaende kwa mujibu wa sheria za nchi pamoja na matamko na mikataba ya kimataifa tuliyoridhia. Sasa kama kuna mtu anakutuhumu kwa jambo fulani badala ya kujichukulia sheria mkononi kukupiga au kukuteka akaamua kukufungulia kesi mahakamani, hapo kosa liko wapi? Ni wajibu wenu kupeleka wanasheria kwenda kumtetea dhidi ya tuhuma alizopewa. Badala ya kwenda kumsadia kisheria ashinde kesi nyie mnasema majukwaani tu kuwa hana kosa aachiwe huru. Huo ni ukorofi ambao una tiba yake.
 
Makala nzuri sana comrade. Keep it up.
Kaka hata kunya ni haki ya mtu lakini kabla ya kunya kuna wajibu lazima uutimize ili unye mafi yako. Huwezi kunya ovyo kwakuwa unajisikia kunya.

Mfano, walipoamua kuchoma miundombinu ya umma walipata muda wa kufikiria:
1. wale wanaoitumia miundombinu hiyo? Haki za hawa walizikanyaga
2. Walipa kodi wa nchi hii ambao kodi zao zilijenga miundombinu hiyo? Haki za hawa walizikanyaga
3. Watu waliokuwa wamepata ajira kwenye miundombinu hii? Haki za hawa walizikanyaga pia
4. Wajibu wa serikali katika kuhudumia wananchi wake? Maslahi ya umma waliyakanyaga
5. wajibu wa vyombo vya usalama kulinda usalama wa watu na mali zao? wajibu huu waliupuuza pia.

Ukiwauliza kwanini mlichoma, wanakwambia tulikuwa tunadai haki yetu, tulikuwa tunatimiza demokrasia yetu na tulikuwa tumekasirika kwa kucheleweshewa haki yetu muda mrefu. Hebu watanzania fanyeni tathimini za majibu yao haya kama yana maana au ni ya kipuuzi tu.

Je, ni wakati gani sheria inaruhusu mtu au kundi kuharibu mali ya umma na watu binafsi?
 
Jibu swali wee pimbi!
hamna swali hapo. nilikuwa sijamsikiliza mwaipopo, lakini leo nisikiliza clips zake. Anakataza kuchoma nchi yetu, kosa lake nini?. kushangilia kuchoma baarabara yako na watanzania wote eti kwasababu Rais ni Samia ni uzuzu.
 
Kaka hata kunya ni haki ya mtu lakini kabla ya kunya kuna wajibu lazima uutimize ili unye mafi yako. Huwezi kunya ovyo kwakuwa unajisikia kunya.

Mfano, walipoamua kuchoma miundombinu ya umma walipata muda wa kufikiria:
1. wale wanaoitumia miundombinu hiyo? Haki za hawa waliikanyaga
2. Walipa kodi wa nchi hii ambao kodi zao zilijenga miundombinu hiyo? Haki za hawa walizikanyaga
3. Watu waliokuwa wamepata ajira kwenye miundombinu hii? Haki za hawa walizikanyaga pia
4. Wajibu wa serikali katika kuhudumia wananchi wake? Maslahi ya umma waliyakanyaga
5. wajibu wa vyombo vya usalama kulinda usalama wa watu na mali zao? wajibu huu waliupuuza pia.

Ukiwauliza kwanini mlichoma, wanakwambia tulikuwa tunadai haki yetu, tulikuwa tunatimiza demokrasia yetu na tulikuwa tumekasurika kwa kucheleweshewa haki yetu. Hebu watanzania fanyeni tathimini za majibu yao haya kama yana maana au ni ya kipuuzi tu.
Tathmini ya namna hii, wapinzani uchwara hawaipendi. Kwao kilichotokea October 29, ni wanaoitwa waandamanaji kufa tu. Vituo vya mafuta vilivyochomwa, bidhaa zilizoibiwa, biashara zilizofilisiwa, miundombinu iliyoharibiwa pamoja na watumishi wa umma(makalani wa uchaguzi na polisi) waliojeruhiwa na hata kuuawa wao hayo hayawahusu. Unafiki wa namna gani huu?
 
Sisi sio wajinga, hata ukiniua leo na wewe utakufa kesho. Tanzania ni kubwa kuliko sisi wawili. kelele zenu ni za kitoto kabisa. Nendeni mahakamani mkawatetee watoke kama mlivyofanya kwa walioachiwa na mahakama sio kutishia serikali kwakuwa nyie ni chadema. Hakuna mkubwa mbele ya sheria.
Serikali ni nani.
 
Tathmini ya namna hii, wapinzani uchwara hawaipendi. Kwao kilichotokea October 29, watu kufa tu. Vituo vya mafuta vilivyochomwa, bidhaa zilizoibiwa, miundombinu iliyoharibiwa pamoja na watumishi wa umma(makalani wa uchaguzi na polisi) waliojeruhiwa na hata kuuawa wao hayo hayawahusu. Unafiki wa namna gani huu?
Na kura hazikuhesabiwa.......
 
Kuiba kura, kusingizia watu kesi za uhaini na ugaidi, kuteka, ufisadi na kuua wanao kukosoa ni utawala wa sheria?.
 
Tathmini ya namna hii, wapinzani uchwara hawaipendi. Kwao kilichotokea October 29, ni wanaoitwa waandamanaji kufa tu. Vituo vya mafuta vilivyochomwa, bidhaa zilizoibiwa, biashara zilizofilisiwa, miundombinu iliyoharibiwa pamoja na watumishi wa umma(makalani wa uchaguzi na polisi) waliojeruhiwa na hata kuuawa wao hayo hayawahusu. Unafiki wa namna gani huu?
Sio kwamba hawajui kama walikosea sana, ila wanafanya hivyo kama jitihada za kujipapatua kukwepa kuadhibiwa. Hata hivyo sheria ni msumemo kila kosa lina adhabu adhabu yake kwa mujibu wa sheria. Wanachokifanya ni kupiga kelele sana za kuonewa na kuweka mapingamizi ili kukwepa makosa yao. Wanatafuta chohoro za kisheria kukwepa makosa obvious.

Hata kama kesi iko mahamani wanatangua kusema hana hatia ili kuwaandaa wafuasi kama watahukumiwa.
 
Kuiba kura, kusingizia watu kesi za uhaini na ugaidi, kuteka, ufisadi na kuua wanao kukosoa ni utawala wa sheria?.
Kama hayo yapo kweli peleka mahakamani ukapate haki yako. Utawala wa sheria unataka hivyo, hakuna short cup. Wapinzani wakipelekwa mahakamani hawataki na wakitekwa hawataki pia. Yaani waachwe wapindue serikali bila kuzuiwa wala kupewa adhabu. Haipo hiyo duniani

Sisi ni watanzania halali, hivyo tusifanye juhudi za kufa kwa kulazimisha kwenye nchi yetu wenyewe. Nchi na dola lazima vitalindwa tu kwa gharama yoyote iwe unataka au hutaki, iwe umevuta bhangi au hujavuta.
 
Serikali ni nani.
Serikali ni maghala mengi makubwa ya risasi na silaha za aina mbalimbali kwaajili ya kulinda raia na mali zao pamoja na mipaka ya nchi. Serikali ina makomandoo na aina mbalimbali ya askari kwaajili yetu pia. Unapotaka kumtukana Rais fikiria kwanza makomandoo wanaomlinda yeye na taifa. Usifanye kila kitu ili uuliwe.
 
Kama hayo yapo kweli peleka mahakamani ukapate haki yako. Utawala wa sheria unataka hivyo, hakuna short cup. Wapinzani wakipelekwa mahakamani hawataki na wakitekwa hawataki pia. Yaani waachwe wapindue serikali bila kuzuiwa wala kupewa adhabu. Haipo hiyo duniani

Sisi ni watanzania halali, hivyo tusifanye juhudi za kufa kwa kulazimisha kwenye nchi yetu wenyewe. Nchi na dola lazima vitalindwa tu kwa gharama yoyote iwe unataka au hutaki, iwe umevuta bhangi au hujavuta.
Mkuu unaishi Malawi au hapa hapa Tanzania?, ndio mlivyokubaliana kutumia mahakama kukandamiza raia, wakosoaji na wanaharakati?.
 
Mkuu unaishi Malawi au hapa hapa Tanzania?, ndio mlivyokubaliana kutumia mahakama kukandamiza raia, wakosoaji na wanaharakati?.
Mahakama ikiamua kwa kuwapa haki nyinyi mnaisifia, mahakama ikiwaadhibu kwa makosa yenu haifai na haiko huru. Hiyo ndiyo tabia ya mwanasiasa na mwanasheria/wakili uchwara. Anahangaika ili auliwe, anashangaa yuko hai pamoja na kuhangaika kwake kote..
 
Back
Top Bottom