Lofa Baba ako mzazi.Wewe sema tu ili kuonyesha tz tuna uhuru wa kutoa maoni hata kama maoni yenyewe ni ya kilofa.
kakusanya mapimbi yanasikiliza propaganda. Eti duniani kote shule za serikali ni bora kuliko shule za serikali.Jibu swali wee pimbi!
Wewe huna akili aloo. Unajua kuna kitu kinaitwa "timing" kiswahili "alama za nyakati". Kuna right timing na wrong timing. Mtu mwenye akili anajua right and wrong timing kwenye mambo yake. Dunia sasa hivi iko kenye panic mode, haiko tayari kuhangaika na mambo ya tanzania na kuacha kuhangaika na vita ya Iran vs Israel-US, vita ya Ukraine vs Russia, DRC vs M23-Rwanda, kuondolewa kwa Mkurugenzi mkuu wa mashtaka ICC, Khan; mid-term uchaguzi wa marekani, kuanguka kwa Mawaziri wakuu wa UK, umuhimu wa yanayotokea kwenye nchi za Sahel kwa ufaransa, na mashindano ya Kombe la dunia. Mtu makini ni yule anaesoma alama za nyakati juu ya lini anzishe jambo lake na lini asubiri na lini aachane nalo kabisa.Ulisoma shule Gani wewe hata uwe mjinga kiasi hiki???
Unalipwa shilingi ngapi??
Sasa kama unajua chadema ni hawayaelewi haya mbona kutwa kuvha heche, lema lisu na porojo kibao? Unahangaika na wehu badala ya kuhangaika na mumeo?Wewe huna akili aloo. Unajua kuna kitu kinaitwa "timing" kiswahili "alama za nyakati". Kuna right timing na wrong timing. Mtu mwenye akili anajua right and wrong timing kwenye mambo yake. Dunia sasa hivi iko kenye panic mode, haiko tayari kuhangaika na mambo ya tanzania na kuacha kuhangaika na vita ya Iran vs Israel-US, vita ya Ukraine vs Russia, DRC vs M23-Rwanda, kuondolewa kwa Mkurugenzi mkuu wa mashtaka ICC, Khan; mid-term uchaguzi wa marekani, kuanguka kwa Mawaziri wakuu wa UK, umuhimu wa yanayotokea kwenye nchi za Sahel kwa ufaransa, na mashindano ya Kombe la dunia. Mtu makini ni yule anaesoma alama za nyakati juu ya lini anzishe jambo lake na lini asubiri na lini aachane nalo kabisa.
Chadema ina watu oyaoya kama wewe, yaani majehu yanayopelekeshwa kama mazuzu. Msigwa kachepuka kidogo kwenda kupiga mpunga kule CCM na kurudi tena cdm na kuyakuta mazuzu palepale yanamsubiri kwa nderemo. hawana weledi kabisa na wajinga kama wewe
Ugomvi wangu na watu hao umekuja baada ya kuchoma mali ambazo sio za Samia. Samia kazikuta na ataziacha, kwa vipi wewe uzichome kuwakomoa watanzania wenzako wenye njaa kama wewe?. Mpka leo hii hakuna usafiri wa haraka kutoka Morocco kwenda kariakoo au Kimara, mmemkomoa Samia hapo au watanzania wenzenu?Sasa kama unajua chadema ni hawayaelewi haya mbona kutwa kuvha heche, lema lisu na porojo kibao? Unahangaika na wehu badala ya kuhangaika na mumeo?
Wewe una nongwa kama mwanamke mgumba? Hovyo kabisa wewe nchi hii siyo ya mumeo . Mwambie mumeo aanzishe nchi yake Ili muwe na chama kimoja
...Heche ni sikio la kufa..., nadhani hata wazazi wake wamenyoosha mikono. Ukiwa na akili zako timamu huwezi kusema "mimi siogopi kitu na yeyote labda Mungu". Hiyo ni extreme fulani hatari sana; ni bhangi na kuchanganyikiwa pamoja. kama angetumia dialogue badala ya nguvu dunia yote ingemuelewa na ingekuwa nyuma yake. Taasisi za kidunia zinakumbatia kiti na meza (dialogue) badala ya violence.Sasa kama unajua chadema ni hawayaelewi haya mbona kutwa kuvha heche, lema lisu na porojo kibao? Unahangaika na wehu badala ya kuhangaika na mumeo?
Wewe una nongwa kama mwanamke mgumba? Hovyo kabisa wewe nchi hii siyo ya mumeo . Mwambie mumeo aanzishe nchi yake Ili muwe na chama kimoja
Ukiwa mtumishi wa umma wewe ni sehemu ya serikali.Nakuungana mkono kwa %100
Uko miaka ya
Nyuma walizingua pia lkn majawabu yao yapo👈
Haiwezekani chuo kitafutwe na Serikali ya CCM kisha chuo icho icho kigeuke kijiwe cha Upinzani kisa uhuru wa
kuongea
Tatizo sio uhuru wa kuongea lkn wapi unataka uho uhuru wa kuongea👈
lazima iwe kwenye majumba yaliotafutwa kwa juhudi kubwa za Serikali ya CCM 👈
Hi hapana sio kwenye mejengo ya chuo chochote cha Serikali na ni popote wewe ni mfanyakazi chuoni sio mwekezaji👈
uwezi kudai uhuru wenye ukakasi wkt kila mwezi unalipwa mshahara
Wako upo chini ya mwajili👈
uhuru unamipaka popote ipo ivyo
Yani wapinzani wanapiga Domo Serikali hinyimwe misaada
kimataifa!! tena wanashangilia tukinyimwa👈
Ajabu tena ndani ya nchi Wapinzani wa aina hii watumie majengo ya Serikali kupanga mikakati ya
kuichafua Serikali kwa chochote
Yani kwa kibwaya cha uhuru wa kujieleza ‼️✍️
Sasa kama unajua chadema ni hawayaelewi haya mbona kutwa kuvha heche, lema lisu na porojo kibao? Unahangaika na wehu badala ya kuhangaika na mumeo?
Wewe una nongwa kama mwanamke mgumba? Hovyo kabisa wewe nchi hii siyo ya mumeo . Mwambie mumeo aanzishe nchi yake Ili muwe na chama kimoja
Ukifanya hivi utapigwa risasi tu hata kama hutakiHaki bila wajibu! Ni haki IPI kapata Lisu kwa kutwangwa risasi 19!?
Makende kabisa
Kakaa, roho ya mapepo haijengi nchi hii. Tulieni tuijenge nchi yetu kwa mikono yetu wenyeweJitahidi kuvumilia njaa yako maana kuendelea hivi kunasiku utajikuta upo mitaroni
Utawala wa sheria maana yake nini?
Kama Watuhumiwa wakipotea chadema hawataki na wakipelekwa chadema mahakamani hawataki pia, Wanataka nini?. Kuchoma mali za umma na za wengine hata ukiwa na madai yako binafsi au ukiwa umekasirika sio demokrasia, tuache ujinga.
Haki za wengine hawana habari nazo isipokuwa haki zao tu. Hivi ni kweli watanzania woooooooote wanataka kuandamana, wanataka Katiba, wanataka vurugu, hawataki kwenda Sabasaba, nk.
Hebu tuongeze nguvu katika kuwatetea watuhumiwa huko mahakamani walikopelekwa kujibu tuhuma zao badala ya kutoa vitisho kwa wale waliotimiza utawala wa sheria kuwapeleka watuhumiwa.
Maandamano ni watu bila watu hakuna maandamano ya mtu mmoja. Watanzania walikaa nyumbani kuonyesha kuwa hawaungi mkono maandamano yanayoitishwa.
Kama sio mahakamani wawapeleke wapi, wawateke?
View: https://www.youtube.com/live/TWyqw8zuVyM?si=seLhVfwRnnEGj7A1
Mauaji yale hayana shida kabisa kwenye maridhiano. Kwanza mimi sioni haja ya maridhiano; maridhiano ya nini bhana?.Hao ni CCM 😄😄 wanapotaka MARIDHIANO kabla ya kuwajibika, kukiri MAUAJI ya 29 0ctober na WIZI WA kura!! Rekebisha heading, weka CCM wanataka haki bila kutimiza wajibu "