CHADEMA wanataka haki bila wajibu, watoe darasa kwa umma.

Hii CHADEMA ya sasa imejaa wahuni wanaotafuna michango ya wanachama wao kama wendawazimu. Ile CHADEMA ya Januari 5, 2011 ilikuwa CHADEMA iliyopendwa sana kiasi kwamba watu walikuwa wanasapoti bila kushawishiwa wala kulazimishwa. Nakumbuka watu walikesha pale kwenye uwanja ambao kwa sasa kuna soko karibu na relini Arusha wakisapoti CHADEMA. Ila kwa sasa wameshagundua CHADEMA ni takataka kama takataka zingine.
 
Mbona hao wanachama ndiyo wanamuhimiza Heche na uongozi wote watafune michango kwa bidii ili wachange tena?Kwani wewe ni mwanaCHADEMA?
 
Mbona hao wanachama ndiyo wanamuhimiza Heche na uongozi wote watafune michango kwa bidii ili wachange tena?Kwani wewe ni mwanaCHADEMA?
Hao ni nyumbu wachache wasio na madhara. Tsh 334m bado haijajaa inamaanisha supporters wamepungua.
 
Jitahidi uwe na uwezo wa kujenga hoja ueleweke hapo sijakuelewa sijui unaiunga mkono au unawatupia lawama chadema
 
Wewe Jehu..! Kwanza hiyo Elimu kwa Wananchi wanaitolea wapi na Mikutano mnawazuia kila mara!?
 
 
Kukinukisha kunahusiana na harufu.Sasa alikuwepo siku hiyo?Mbona unabahatisha wewe?
Sisi tumeshatoka huko kwenye janjajanja za kisheria. Hapo zamani kulikuwepo na neno..... Kama alisema na uwe mchana na ukawa, sasa tunatafuta nini?
 
Mbowe machozi yanamtoka kuona chama chake kimegeuka saccos ya Heche
 
Hao ni nyumbu wachache wasio na madhara. Tsh 334m bado haijajaa inamaanisha supporters wamepungua.
Wasichokijua ni kwamba wao sio wa kwanza, walikuwepo akina Kambona, Rugakingira, Chipaka, Njelu na G55 yao, Horace Kolimba, Lyatonga, Mtikila, Maalim, nk. Bahati yao safari hii tuna Rais mwenye exposure kubwa, smart, mama, alietaalamika, mweye weledi na mpole. Watachoka sana kabla hawajafika waendako. Wanachokifanya wapinzani ni kitu cha kawaida sana katika demokrasia, labda wanachokosea ni kudhani hata serikali ina woga inaweza kuogopeshwa ikaogopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…