CHADEMA wanataka haki bila wajibu, watoe darasa kwa umma.

Kuiba kura, kusingizia watu kesi za uhaini na ugaidi, kuteka, ufisadi na kuua wanao kukosoa ni utawala wa sheria?.
Wewe sema tu ili kuonyesha tz tuna uhuru wa kutoa maoni hata kama maoni yenyewe ni ya kilofa.
 
Ulisoma shule Gani wewe hata uwe mjinga kiasi hiki???
Unalipwa shilingi ngapi??
Wewe huna akili aloo. Unajua kuna kitu kinaitwa "timing" kiswahili "alama za nyakati". Kuna right timing na wrong timing. Mtu mwenye akili anajua right and wrong timing kwenye mambo yake. Dunia sasa hivi iko kenye panic mode, haiko tayari kuhangaika na mambo ya tanzania na kuacha kuhangaika na vita ya Iran vs Israel-US, vita ya Ukraine vs Russia, DRC vs M23-Rwanda, kuondolewa kwa Mkurugenzi mkuu wa mashtaka ICC, Khan; mid-term uchaguzi wa marekani, kuanguka kwa Mawaziri wakuu wa UK, umuhimu wa yanayotokea kwenye nchi za Sahel kwa ufaransa, na mashindano ya Kombe la dunia. Mtu makini ni yule anaesoma alama za nyakati juu ya lini anzishe jambo lake na lini asubiri na lini aachane nalo kabisa.

Chadema ina watu oyaoya kama wewe, yaani majehu yanayopelekeshwa kama mazuzu. Msigwa kachepuka kidogo kwenda kupiga mpunga kule CCM na kurudi tena cdm na kuyakuta mazuzu palepale yanamsubiri kwa nderemo. hawana weledi kabisa na wajinga kama wewe

Bubu alikuwa mganga wa tunguli (vibuyu), alipokaribia kufa akaniambia mjukuu wangu wajinga hawaishi duniani usivitupe hivi vibuyu vitakusaidia. Ona wajinga pale chadema waliokuwa wakimpambania Ester Bulaya, matiko, Mkumbo, nasari, Msigwa, David Kafulila, Dr. Slaa, Lowassa na wengine waliokuja na kuondoka chadema kurudi CCM ndiyo haohao na walewale wanaendelea kumpambania Heche, myika, lissu bila kujali. Wao wako hapo hapo wakti wenzao wanatafuta wapi watapata fedha nyingi zaidi. Akina Halima Mdee na wenzake 19 walichepuka kidogo kwenda kupiga mpunga CCM kupewa ubunge kwa miaka 5 wakati mazuzu akina kinoamiguu yako palepale na piiiiiipooooos. Heche na wenzake wanapiga pesa za kufa mtu wao wako palepale, Lema na Lisu, Maria sarungi na mange wanapiga pesa huko nje majinga yamebaki palepale yanaimbishwa piiiiiiiiiiiiipoooooooos, tena yanaambiwa yachange na namba ya kuchanga yanapewa ili yachange yenyewe wahuni wale mpunga.

Kweli wajinga hawaishi, sasa hivi nimebaki napiga pesa kwakutimia vibuyu alivyoniachia babu, kweli wajinga hawaishi nina njomi la wagonjwa wanatafuta dawa za kupendwa, kupata kazi, kukwepa kesi, nk.
 
Sasa kama unajua chadema ni hawayaelewi haya mbona kutwa kuvha heche, lema lisu na porojo kibao? Unahangaika na wehu badala ya kuhangaika na mumeo?
Wewe una nongwa kama mwanamke mgumba? Hovyo kabisa wewe nchi hii siyo ya mumeo . Mwambie mumeo aanzishe nchi yake Ili muwe na chama kimoja
 
Ugomvi wangu na watu hao umekuja baada ya kuchoma mali ambazo sio za Samia. Samia kazikuta na ataziacha, kwa vipi wewe uzichome kuwakomoa watanzania wenzako wenye njaa kama wewe?. Mpka leo hii hakuna usafiri wa haraka kutoka Morocco kwenda kariakoo au Kimara, mmemkomoa Samia hapo au watanzania wenzenu?

Ndiyo maana kuna waliofurahia wachomaji kuuliwa, kitu ambacho sio cha kawaida na kizuri kwenye jamii.
 
...Heche ni sikio la kufa..., nadhani hata wazazi wake wamenyoosha mikono. Ukiwa na akili zako timamu huwezi kusema "mimi siogopi kitu na yeyote labda Mungu". Hiyo ni extreme fulani hatari sana; ni bhangi na kuchanganyikiwa pamoja. kama angetumia dialogue badala ya nguvu dunia yote ingemuelewa na ingekuwa nyuma yake. Taasisi za kidunia zinakumbatia kiti na meza (dialogue) badala ya violence.
 
Ukiwa mtumishi wa umma wewe ni sehemu ya serikali.

Hakuna aliyeko juu ya sheria na hakuna ambae hawezi kutenda kosa. Ni Mahakama pekee ndio itatasema mtuhumiwa ana kosa au hana aende nyumbani kwake. Hii tabia ya watu kusimama kwenye majukwaa ya siasa na kusema mtuhumiwa hana kosa ni kwenda kinyume cha utawala wa sheria.

Sisi watanzania sio wajinga kama wanavyodhani. Hatuwezi kukubali vitendo vinavyotuumiza wote bila kubagua kama vile kuchoma miundombinu yetu, ofisi na majengo ya kutolea huduma, kufukuza wawekezaji na watalii, vyanzo vya ajira, nk. Tuko tayari kuchapana na wahuni wa hivyo.
 

Hao ni CCM 😄😄 wanapotaka MARIDHIANO kabla ya kuwajibika, kukiri MAUAJI ya 29 0ctober na WIZI WA kura!! Rekebisha heading, weka CCM wanataka haki bila kutimiza wajibu "
 
Hao ni CCM 😄😄 wanapotaka MARIDHIANO kabla ya kuwajibika, kukiri MAUAJI ya 29 0ctober na WIZI WA kura!! Rekebisha heading, weka CCM wanataka haki bila kutimiza wajibu "
Mauaji yale hayana shida kabisa kwenye maridhiano. Kwanza mimi sioni haja ya maridhiano; maridhiano ya nini bhana?.

Sisi watanzania wenye mali zilizoharibiwa na watanzania wenzetu tumekubali kuwa watanzania wenzetu waliuliwa na watanzania wenzetu tuliowakabidhi ulinzi wa mali zetu kwasababu waliharibu mali na miundombinu yetu kwakushawishiwa na watu (watanzania na wageni) waliokuwa na agenda zao. Tumeshakubali kuwa wameshakufa na mali zimeshaharibika, wote tumepata funzo.

Dalili za kuonyesha kuwa tumeshakubaliana na hali ni kama zifuatazo
1. Watanzania bado wanaishi pamoja kwenye nyumba na mitaa bila kujali vyama wala dini.
2. Watanzania bado wanauza na kununua bidhaa bila kujali vyama, dini, kabila
3. Watoto wetu bado wanasoma shule na vyuo vilevile kabla na baada ya tukio lile
4. Usafiri: Hata baada ya tukio lile Watanzania hawabagui vyombo vya usafiri vya kupanda. tunapanda bodaboda, bajaj, mabasi, maguta, treni wala ndege za kusafiria.
5. Makazini: Hata baada ya tukio watanzania bado wanafanyakazi ofisi moja, idara na taasisi moja bila kujali vyama na dini.
6. Msiba na maziko: Hata baada ya tukio lile watanzania wanazikana bila kujali vyama vya siana, mauaji wala uharibifu uliofanyika.

Nani analazimisha maridhiano? Nani anataka maridhiano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…