CHADEMA wasitafute mchawi 2025 watakapopata kura moja

Kamanda amekuwa compromised na amelowa mbele mtoto wa kike...

Kweli hamna mkate mgumu kwenye maji..

Yule Ni Rais, haijalishi jinsia yake. Ana back up kubwa Sana. Mbowe kafanya part yake na kapata alichotaka . Mkutano wa kwanza wa Thanksgiving tunaanzia uwanaja wa mashujaa Moshi.
 
Ma

Makamu Mwenyekiti yupo nje ya nchi, ila nadhani anapata info zote. Na Kuna kipindi aliweka pressure ndio maana hata Leo wametangaza mikutano ya hadhara ipo huru.
Mbona analalamika kwenye mitandao mkuu pamoja na Lema na viongozi wengi tu ndani ya chama
wanahisi DJ kalamba asali wao amewatenga waslimbe wote!?
kwanini picha za maridhiano hatumuoni hata katibu!?
 
Sasa
Kuiba kura ni tabia ya CCM inajulikana na kila mtu. Kwa Sasa CHADEMA imepata fursa ya kujijenga, kupitia mikutano ya hadhara.
 
Asali hamuangalii bwashee
 
Marekebisho gani tena ya sheria yamefanyika!?
mimi nimesikia tu kauli ya kuruhusu mikutano ya siasa ambayo ni halaii kwa katiba ya JMT.

Hotuba ilikuwa na mambo matatu.

Kwanza, Kuruhusu mikutano ya siasa.

Pili, Mchakato wa Katiba mpya. Ambapo tume itateuliwa hivi karibuni, ikihusisha watu wa makundi yote.

Tatu, marekebisho ya sheria ya vyama vya siasa, mikutano ya siasa, uchaguzi, ofisi ya msajili na nk. Sheria zote zitapitiwa na na vyama kabla ya kupelekwa bungeni.

Pia kasisitiza bado maongezi yanaendelea Kuna mambo mengi baro hawajakubaliana na CHADEMA.
 
Sawa Kama huo ni ujanja waendelee tu. Ila sisi CHADEMA tumepata fursa ya kujenga chama na kutafuta wanachama wapya.
Hao wanachama sijui hata kama mtawapata ajenda yenu ilikuwa ufisadi kwa JK, ika democrasia kwa Magu sasa sijui
mtawaambia nini tena watu maridhiano!? huku mkilamba asli uchochoroni
 
Mbona analalamika kwenye mitandao mkuu pamoja na Lema na viongozi wengi tu ndani ya chama
wanahisi DJ kalamba asali wao amewatenga waslimbe wote!?
kwanini picha za maridhiano hatumuoni hata katibu!?

Nadhani kwa yaliyotokea leo malalamiko yatapungua
 
Hao wanachama sijui hata kama mtawapata ajenda yenu ilikuwa ufisadi kwa JK, ika democrasia kwa Magu sasa sijui
mtawaambia nini tena watu maridhiano!? huku mkilamba asli uchochoroni

Ajenda ni nyingi Sana na muda hautoshi.
 
Nadhani kwa yaliyotokea leo malalamiko yatapungua
Njia pekee kupunguza malalamiko DJ awaonjeshe wenzake Lisu na Lema na baadhi
ya vijana wa ufipa walioshituka kama martine.
hawalalamiki kwa sababu hawapewi mrejesho ila kwa sababu hawalambishwi asali
ya magogoni tamu kuliko asali zote JMT, who cares kuhusu maridhiano!?
 
Wewe umefanya nini kuleta mabadiliko? Unalilia wengine wapiganie matamanio yako wewe umelala!!
Kunawatu "Wanahara kati" lakini wanajiita "wana harakati"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…