CHADEMA yaitisha Mkutano na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

Kosa liko wapi kuuliza?

Nasema hivi, hizi id za septemba zina mihemko ya hatari. Ule moto uliingia nao wakati umefungua hii id juzi naona umekata, hii inadhihirisha kiwa kisi@mi kimerudi ndani ya housing, hivyo umetulia baada ya kukojo##zwa.
 
Saa 5 ishafika, mmeahirisha?!
huwajui wasanii hao wanapenda tu waonekane na wao wapo
Chadema ni chama cha kihuni,tangazo linatoka saa saba za usiku,lakini mpaka saa 7 mchana,hakuna cha mkutano wala kongamano
 
Nasema hivi, hizi id za septemba zina mihemko ya hatari. Ule moto uliingia nao wakati umefungua hii id juzi naona umekata, hii inadhihirisha kiwa kisi@mi kimerudi ndani ya housing, hivyo umetulia baada ya kukojo##zwa.
Kamanda moto ukate wakati Lissu anapata 79.5%. Acha matusi we kenge.
 
huwajui wasanii hao wanapenda tu waonekane na wao wapo
Chadema ni chama cha kihuni,tangazo linatoka saa saba za usiku,lakini mpaka saa 7 mchana,hakuna cha mkutano wala kongamano
Time management seems to be an issue with these guys.
 
huwajui wasanii hao wanapenda tu waonekane na wao wapo
Chadema ni chama cha kihuni,tangazo linatoka saa saba za usiku,lakini mpaka saa 7 mchana,hakuna cha mkutano wala kongamano
Sasa kama chadema ni chama cha kihuni je yule mgombea wa CCM aliyesema jukwaani anataka sugu amsugue kweli kweli tuseme ni chama cha aina gani?
 
Kazia hapohapo. "We are smelling a very big rat".
 
Mmetupotezea muda tumeacha kazi zetu halafu mkutano wenyewe haupo. Chadema ovyo sana
 
Sasa kama chadema ni chama cha kihuni je yule mgombea wa CCM aliyesema jukwaani anataka sugu amsugue kweli kweli tuseme ni chama cha aina gani?
Chadema tangu mwanachama wa chini hadi mwenyekiti wenu ni wahuni tu!

Tena mgombea wenu kathibitisha uhuni wake pale alipowaambia mtakuwa mkifanyiana faragha
 
Ni katiba ndo imesema serikali isiingilie faragha za watu ,lissu kaelezea katiba ,na akasema usivunje katiba ila badilisheni katiba hiyo kifungu kirekebishwe kama mnataka kushitaki watu ,kama huelewi hapo utakuwa na samadi kwenye kichwa na sio ubongo .Mgombea wenu kasema jukwaani anamwomba sugu amsugue,a very big shame kwa mwanaume kuomba kusuguliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…