Kwamwangulu
Member
- Nov 2, 2019
- 46
- 31
Saccos ya Chadema usanii mwingi.
Mbona jibu na mada ni tofauti boss?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saccos ya Chadema usanii mwingi.
Ulaya ipo Ndio maana vyama vinabadirishana kuongozaThere is no fairground for political competition
Badala ya kuitwa ccm kiitwe chama cha MAFISADI NA WAUAJI WA WATU NA UCHUMI.Salama wana bodi.
Tangu kuondoka kwa Dr Slaa ,Chadema haina ubunifu wala mvuto kwa wananchi tena. Hela walizokuwa wanapata kutoka kwa wafadhili zimekatika, chama kina njaa kali lakini ukweli huu hausemwi!!.
Mathalani wakati wa kuandikisha wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa chadema mkoa wa Kilimanjaro hawakuweka mawakala na alipoulizwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa Kilimanjaro kwa nini chama hakiweki mawakala? Alisema Chadema hakina pesa ya kuwalipa mawakala shs 5000 kwa kila siku kwa siku 30 za uandikishaji!
Freeman Mbowe baada ya kuona maji ya shingo, sasa amekuja na mbinu mpya kugomea kushiriki kila uchaguzi ulio mbele yake na akiulizwa anasema ,sababu ni ubinywaji wa democrasia wakati si kweli. Ukweli ni kwamba chama hakina pesa..
Hata mchakato wa ndani wa chama kutafuta wagombea kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa chadema haikufanya.!!View attachment 1256773
Huyo ni punguani aliyekosa elimu,akili na maarifa no wonder anashabikia upumbavu bila ya kuwa na upeo wa ku'anticipate aftermath ya ushenzi unaofanywa na dola.Kajifunze kwanza kuandika kama mtu aliyestaarabika. Pumbavu wewe. 'Tabiri' na si 'Tabili' kama ulivyoandika Kenge wewe
Mwambie taarifa zake tunazo.Mwaka juzi uliomba michango humu uchangiwe hela Leo unaleta kiburi
Mpuuzi huyo mwanamkeMwambie taarifa zake tunazo.
Ban ya nini wakati kaandika ukweli, kwani haujistukii. Tena ni ile inayonuka uvundo.Ukikosa ban hapa nitajua kuna double standard humu
Sisi tunaopenda Amani tunaona tunakokwenda sio...Serikali ingehakikisha Uchaguzi huu unafanyika kwa amani na kwa usawa, lakini tunakokwenda na kubaya sana ,watendaji wa kata na vijiji watapata shida ndani ya jamii ...madhara tumeyaona huko ButiamaMwingine siku ile anayotakiwa kurudisha eti anafatwa kwake na polisi kukamatwa anawekwa ndani