CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Mbowe ni double agent ame-chigganise mshiko wa nguvu!
 
Kwa uhuni huu, naunga mkono kujitoa , Ni sahihi kabisa , hongereni CDM
 
Sasa ndio nimepàta majibu ni kwa nini jimbo LA Chato kuna mtu alikuwa anapita ubunge bila kupingwa kwa miaka 10 mfululizo kumbe mbinu zenyewe ni za kishamba sana.
 
Yaani awa bora ata ya TBC toka walivyochukuliwa kimekuwa kituo cha ovyo zaidi kuliko TBC.
 
Japo mimi sina chama ila naona Ccm wengi wana akili za kuvukia barabara na kukumbuka njia za kwenda majumbani mwao
 
Unaonekana una week huko nyuma hapajapata maji....uwozo huo umeamia kichwani, naona una lidhalilidha jukwaa tukufu la JF.
 
Salama wana bodi.

Tangu kuondoka kwa Dr Slaa ,Chadema haina ubunifu wala mvuto kwa wananchi tena. Hela walizokuwa wanapata kutoka kwa wafadhili zimekatika, chama kina njaa kali lakini ukweli huu hausemwi!!.

Mathalani wakati wa kuandikisha wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa chadema mkoa wa Kilimanjaro hawakuweka mawakala na alipoulizwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa Kilimanjaro kwa nini chama hakiweki mawakala? Alisema Chadema hakina pesa ya kuwalipa mawakala shs 5000 kwa kila siku kwa siku 30 za uandikishaji!

Freeman Mbowe baada ya kuona maji ya shingo, sasa amekuja na mbinu mpya kugomea kushiriki kila uchaguzi ulio mbele yake na akiulizwa anasema ,sababu ni ubinywaji wa democrasia wakati si kweli. Ukweli ni kwamba chama hakina pesa..
Hata mchakato wa ndani wa chama kutafuta wagombea kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa chadema haikufanya.!!View attachment 1256773
Badala ya kuitwa ccm kiitwe chama cha MAFISADI NA WAUAJI WA WATU NA UCHUMI.
 
Kajifunze kwanza kuandika kama mtu aliyestaarabika. Pumbavu wewe. 'Tabiri' na si 'Tabili' kama ulivyoandika Kenge wewe
Huyo ni punguani aliyekosa elimu,akili na maarifa no wonder anashabikia upumbavu bila ya kuwa na upeo wa ku'anticipate aftermath ya ushenzi unaofanywa na dola.
 
Nadhani hii ni njia nzuri kwa chadema. Wanafanya hivi ili utaratibu urudiwe tena. Wameona wamefanya makosa, njia pekee ya kuyarekebisha haya makosa ni kurudia zoezi lote.

Wanaona aibu kukiri kwamba wamefanya makosa, kwa hiyo njia bora wanayoifanya ni kuaminisha hakuna haki. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata uchaguzi ndani ya chama umeshindikana kwa sababu ya hela!
 
Channel Ten ni kituo cha TV ambacho kinamilikiwa na Chama Cha Mapinduzi, hivyo si kosa wao kufanya hivyo
 
Mwingine siku ile anayotakiwa kurudisha eti anafatwa kwake na polisi kukamatwa anawekwa ndani
Sisi tunaopenda Amani tunaona tunakokwenda sio...Serikali ingehakikisha Uchaguzi huu unafanyika kwa amani na kwa usawa, lakini tunakokwenda na kubaya sana ,watendaji wa kata na vijiji watapata shida ndani ya jamii ...madhara tumeyaona huko Butiama
2205653_IMG-20191107-WA0006.jpeg
 
Napendekeza hata uchaguzi mwakani ufutwe, tuokoe fedha zikafanye Mambo ya Msingi.
 
Back
Top Bottom