CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Good luck
 
We mpuuz kweli si ndo mlikuwa mnayataka? Saiz unajifanya unapyuyanga ujinga satanic agent mkubwa
 
Nyie endeleeni kufurahia ila nina uhakika hapo ulipo hata Wazazi wako walio kuzaa wana chukizwa na haya. Ila kwa sasa kwa sababu una wazazi wakufikia wakina Jafo, Makonda na wakina Polepole unajiona wa tofauti sana
Hahahaaa.......!

Chadema bhana washaanza kujibiwa!

Anyway wananchi watawakilishwa na yoyote atakayeshinda hiyo ndio demokrasia!
 
Mkuu kwenye hiyo list yako ni Butiku na Warioba tu wanaweza kuwa fair, hao wengine wote aidha ni wanafiki au waoga, na hakuna yoyote jiwe atamsikikiza pindi akipelekewa wazo asilolitaka.
 
Kwa Vurugu zilizofanywana watendaji waliochini ya Tamisemi ilikua ni sahihi kabisa Mh Jafo kuachia ngazi
 
Nyie endeleeni kufurahia ila nina uhakika hapo ulipo hata Wazazi wako walio kuzaa wana chukizwa na haya. Ila kwa sasa kwa sababu una wazazi wakufikia wakina Jafo, Makonda na wakina Polepole unajiona wa tofauti sana
Bwashee umekasirishwa sana!
 
Sasa ulitaka wafanye nini wakati wagombea wao wameenguliwa kwa hila ?
 
Sasa washiriki uchaguzi kwa wagombea gani? Wagombea wao si ndio hao wametolewa wote? Au mnataka akidi itimie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…