CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi


Hilo wala halitutishi, tena ikibidi hicho chama cha Zito kipewe viti kibao. Wananchi tunajitambua vya kutosha tunajua chama halisi cha upinzani huku bara, na maotea ya ccm tunayajua pia. Kama huna ridhaa ya wananchi hata uwe na wawakilishi bado huwezi kupata support ya watu.
 
Bulshit,Rufaa kwa mahakama ya nyani dhidi ya kima na ndizi?
Kususia ni uamuzi wa busara zadi kwa wenye kujitambua.Siasa za kidunia ndo zilivyo,ukisusa ,unaita mazungumzo mezani,ukishiriki unahalalisha ujinga wa anaekudhulumu kuwa umemba uhalali.
Kushiriki ni umamluki,kususa ni uzlendo wa kweli hasa.
Nadhani viongozi wa chadema wameongeza chuki zaidi baina ya wananchi kuliko ccm,kwa sababu muda wa rufaa huu ungefaa sana kwa mazungumzo kuona kwanini wameenguliwa kuona uhalali na ubatiri na baadae ndo maamuzi yangefuata.
 
Huu uwendawazimu unaoendelea sasa, ndiyo unauita uchaguzi?
 
Jafo unakwama sana. Mgombea kasahau/kakosea kuandika spelling moja ya jina la mtaa (Living Tone badala ya Living Stone) then akakatwa kichwa fasta bila majadiriano. Huyu nae asubiri rufaa yake au common sense should have prevailed siku ile ile aliporejesha form?
 
Kuna vyama zaidi ya 25 kwenye daftari la msajiri wa vyama, TPP,UMD,PONA na hata TADEA hawashiriki uchaguzi huu lakini husikii hata huyo Jasho, akiwashauri chochote, ila CHADEMA chama kilichojifia ndicho kinamtoa Jasho.
Hicho chama unachosema kinajifia ndicho pia kilimtoa jasho huyo mtukufu wenu akawakusanya watendaji nchi nzima na kuwapa maagizo ambayo hata huyo Jafo anayajua.
Haki ilishapotea kabla hata ya zoezi la kuchukua fomu halijaanza.
 
Hivi kutofautisha uchaguzi serikali za mitaa na uchaguzi mkuu ilikuwa ni kuepusha msongamano au kupata ufanisi? Na chama kisipo shiriki uchaguzi mitaa au kupata mtaa wowote kitashiriki uchaguzi mkuu ili kipate nini.
 
Hii nchi bwana! Eti Jaffo naye ni waziri. Rubbish kabisa! Kuongea kwenyewe kwa kujiumauma. Anakuwa kama kabugia ugali wa moto anapoongea.

I'm deeply sorry for my shithole country!
 
Unaonaje Hilo lingefikiliwa baada ya rufaa kupita,ili tujue sababu za kuenguliwa kwa wagombea na kuwa hata rufaa zimetupwa.
 
Zito ameokota dodo chini ya mgazi aka mti wa mawese kigoma wanita mise

Soon ACT kitakuwa chama kikuu cha upinzani

State agent

Acha tu kuwa chama kikuu cha upinzani kiwe hata chama tawala hakuna anayejali. Wananchi tunatambua chama cha kweli cha upinzani. Hiyo ACT inaweza kutumika kama kete ya kutakatishia huu ushenzi, lakini support hasa toka kwa wananchi wanaoukubali upinzani itakuwa ngumu. Tuna uelewa mkubwa wa kutosha, cdm msivutike na huu mtego rahisi na watu wanaojitambua tusishiriki huu uchaguzi. Mpeni Zito viti vya kutosha mpendavyo, na ikibidi mpunguze wanachama wa ccm wakakipigie chama cha Zito.
 
Let’s just say ilikuwa rahisi sana kwa mabeberu kuamua kumuadhibu JK kwa financial sanctions kuliko kwa Magu.

Hiyo asilimia chukua kama kichombezwo tu.
Tunaita kuongopa kwa kutumia takwimu. Haitakiwi kwenye maisha serious
 
Many thanks for saving my day which was going to be wasted to voting in an election whose winner is long known!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…