Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchaguzi upo licha kuwa Kuna changamoto kadhaa ambazo viongozi siasa pamoja wasimamizi chaguzi wanapaswa kuzifanyia kazi.
Kuna mapungufu ambayo wasimamizi na serikali wanafaa kurekebisha.Mtendaji wa kata anaposema chama cha ACT-Wazalendo hakijasajiliwa na anaikataa form ya mgombea.
Nitajie mapungufu ya huyo mgombea kwa scenario hio?
Tamisemi mkaishitaki chadema mahakamani kwann wanawachezea wananchi harafu tuone nani atashinda hiyokesi
umemsikia pole pole?,anasema wao hawajajazia vyumbani bali kwa wanasheria wao.
Kupitishwa bila kupingwa pia ni kuwakosesha haki wananchi kuchagua kiongozi wanayemtaka.Kutopiga kura ni kupoteza haki yako kikatiba.
Wananchi unaowasema ndio hao wanajaa kwa maelfu kumshangilia raisi wao mabarabarani Kila aendako,na uchaguzi ujao 2020 unaweza usiamini maelfu watakao tiririka kumchagua magufuli.Ukitaka kujua wananchi wanajitambua, angalia tu walisusia kujiandikisha bila ushawishi wa chama chochote. Na ccm imefanya siasa miaka minne huku Magufuli akisifiwa kama Mungu, lakini bado wananchi wamebaki na kile wanachokiamini.
ACT-Wazalendo.
Unaweza kubainisha haya mapungufu?Walioenguliwa ni wale tu wenye mapungufu kwa mujibu wa wasimamizi wa uchaguzi.
Hao ni wa chama chao mkuu wanaingiaje kwenye serikali?.Hao wanasheria wengi hivyo kwanini wasiwe wanawapeleka kwenye hizo kesi za kimataifa tunazoshindwa kila siku? Bado mnaamini kuna wajinga wa hivyo nchi hii?
Uchafuzi.Tuuite nini mkuu?
Tunahitaji kufuatilia kama ni mapungufu ya mtendaji au laa na ndio maana kukawekwa rufaa.Mtendaji wa kata amesema hicho chama cha ACT-Wazalendo hakijasajiliwa na msajili wa vyama vya siasa.
Mbona miaka ya uko nyuma haijawai tokea wakaenguliwa kama awamu hii ya 5, kulikoni awamu hii wapinzani wote wakosee kujaza fomu?Walioenguliwa ni wale tu wenye mapungufu kwa mujibu wa wasimamizi wa uchaguzi.
CCM wajitange tu moja kwa moja kwani hakuna haja ya uchaguziKutopiga kura ni kupoteza haki yako kikatiba.
Ngoja waje mkuu.Kwa nwana ccm aliyemo humu naomba unielimishe hapa:-
Mmekaribisha vyama vingi sasa ni miaka takribani 28, mnapata fahari gani kuona serikali mnayoiongozi imeshindwa kutoa miongozo sahihi kwa wagombea hadi mchi mzima inakosa wagombea ambao mngeshindanisha hoja??
Mnajisikiaje pale vyama 16 vinapotoa wagombea wasio na ufahamu wa kujaza fomu? Hiyo elimu mnayojinasibu kuiimarisha kwa miaka 50 sasa ipo wapi kama leo mnatuambia nchi nzima ni wana ccm pekee ndiyo wenye weledi wa kujaza jina la mtaa anaoishi kwa usahihi?? Pia wana ccm ndiyo pekee hapa tanzania wanaoweza kuandika majina yao lakini wasio ccm hawajui!
Kwa nwana ccm aliyemo humu naomba unielimishe hapa:-