CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Kwa kauli kama hii....watawala wanawadharau sana wananch
 
Uchaguzi upo licha kuwa Kuna changamoto kadhaa ambazo viongozi siasa pamoja wasimamizi chaguzi wanapaswa kuzifanyia kazi.

Ukitaka kujua wananchi wanajitambua, angalia tu walisusia kujiandikisha bila ushawishi wa chama chochote. Na ccm imefanya siasa miaka minne huku Magufuli akisifiwa kama Mungu, lakini bado wananchi wamebaki na kile wanachokiamini.
 
Mtendaji wa kata anaposema chama cha ACT-Wazalendo hakijasajiliwa na anaikataa form ya mgombea.

Nitajie mapungufu ya huyo mgombea kwa scenario hio?
Kuna mapungufu ambayo wasimamizi na serikali wanafaa kurekebisha.
 
Ukitaka kujua wananchi wanajitambua, angalia tu walisusia kujiandikisha bila ushawishi wa chama chochote. Na ccm imefanya siasa miaka minne huku Magufuli akisifiwa kama Mungu, lakini bado wananchi wamebaki na kile wanachokiamini.
Wananchi unaowasema ndio hao wanajaa kwa maelfu kumshangilia raisi wao mabarabarani Kila aendako,na uchaguzi ujao 2020 unaweza usiamini maelfu watakao tiririka kumchagua magufuli.
 
Hao wanasheria wengi hivyo kwanini wasiwe wanawapeleka kwenye hizo kesi za kimataifa tunazoshindwa kila siku? Bado mnaamini kuna wajinga wa hivyo nchi hii?
Hao ni wa chama chao mkuu wanaingiaje kwenye serikali?.
 
Kwa nwana ccm aliyemo humu naomba unielimishe hapa:-
Mmekaribisha vyama vingi sasa ni miaka takribani 28, mnapata fahari gani kuona serikali mnayoiongozi imeshindwa kutoa miongozo sahihi kwa wagombea hadi mchi mzima inakosa wagombea ambao mngeshindanisha hoja??
Mnajisikiaje pale vyama 16 vinapotoa wagombea wasio na ufahamu wa kujaza fomu? Hiyo elimu mnayojinasibu kuiimarisha kwa miaka 50 sasa ipo wapi kama leo mnatuambia nchi nzima ni wana ccm pekee ndiyo wenye weledi wa kujaza jina la mtaa anaoishi kwa usahihi?? Pia wana ccm ndiyo pekee hapa tanzania wanaoweza kuandika majina yao lakini wasio ccm hawajui!
 
Figisu na ubabaishaji katika uchaguzi serikali za mitaa ulifanywa ili kuwapitisha bila kupingwa wagombea wa CCM. Ajabu ni kuwa Chadema imejitoa ili wajitangaze washindi wa kishindo, lakini ghafla wao tena ndio wananyong'onyea na kulalama?
Vyama vingine vikiamua kuunga mkono Chadema kwenye uchaguzi litakuwa pigo kubwa kwao.
 
Kwa nwana ccm aliyemo humu naomba unielimishe hapa:-
Mmekaribisha vyama vingi sasa ni miaka takribani 28, mnapata fahari gani kuona serikali mnayoiongozi imeshindwa kutoa miongozo sahihi kwa wagombea hadi mchi mzima inakosa wagombea ambao mngeshindanisha hoja??
Mnajisikiaje pale vyama 16 vinapotoa wagombea wasio na ufahamu wa kujaza fomu? Hiyo elimu mnayojinasibu kuiimarisha kwa miaka 50 sasa ipo wapi kama leo mnatuambia nchi nzima ni wana ccm pekee ndiyo wenye weledi wa kujaza jina la mtaa anaoishi kwa usahihi?? Pia wana ccm ndiyo pekee hapa tanzania wanaoweza kuandika majina yao lakini wasio ccm hawajui!
Ngoja waje mkuu.
 
Tatizo CCM wamewadharau watanzania kiasi cha kutisha ndiyo maana wamekuja na visingizio vya kishamba na ajabu
 
Mama wee,maumivu ya kichwa huanza taratibu,Chadema mbona mnakuwa wanoko hivyo,mnataka siku ya kura vituoni tusinzie?!asa wenzenu nyomi la wapiga kura tutalitoa wapi kuhalalisha mambo?Mi nashauri iwe marufuku kupiga mapichapicha vituo vya kura siku hiyo!tusiumbuane bhana!Mbowe mnoko kweli wewe,lione miwani ile,ya kinokoo kama ya mwalimu mkuu!😬🤬
 
Back
Top Bottom