Chrismoris
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 14,113
- 17,645
Siku mafisi yakitolewa madarakaniUnafiki Utakuja Kuisha Lini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku mafisi yakitolewa madarakaniUnafiki Utakuja Kuisha Lini?
Waswahili husema kufa kufaana baada ya chama kikuu cha upinzani nchini kujitoa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kimetoa fursa kwa chama cha ACT wazalendo kuimarika zaidi.
Maana yake ni kwamba kwa sasa Chadema itakosa uwakilishi katika serikali za mitaa jambo ambalo ni hatari sana kwa ustawi wake.
Nina imani Zitto na maalimu Seif hawatasusia uchaguzi ila watapanga mbinu muafaka za kumkabili mwenzao waziri Jafo kwenye uwanja wa uchaguzi kwani waswahili wanasema.......Waarabu wa Pemba hujuana kwa vilemba.
Poleni sana Chadema
Maendeleo hayana vyama!
Nadhani viongozi wa chadema wameongeza chuki zaidi baina ya wananchi kuliko ccm,kwa sababu muda wa rufaa huu ungefaa sana kwa mazungumzo kuona kwanini wameenguliwa kuona uhalali na ubatiri na baadae ndo maamuzi yangefuata.
Jafo mnafiki sana. Kwani si kuna TLP, PPT-Maendeleo, SAU, CHAUMA, CHAUSTA, UDP, CUF n.k. Iweje CHADEMA kutokushiriki aseme wananchi wamenyimwa haki? Poor Jafo.
Wamekatwa wote?!
Huu uwendawazimu unaoendelea sasa, ndiyo unauita uchaguzi?Kitendo cha viongozi wa upinzani kususia uchaguzi kwa kuorodhesha mapungufu kadhaa huenda ikawa na athari kwa uchaguzi wa mwakani kwa wafuasi wao kususia uchaguzi ujao,kwani hata Kama watahamasishwa na vyama vyao bado wanachama wao wataona hakuna kilichobadilika na hivyo kutoona umhimu kushiriki uchaguzi huo..kwa hiyo waliyofanya Leo mavuno mwakani.
NAWASILISHA.
Unachosema ni kweli pale unapokuwa na utawala wenye maono. Kwa huu wa kwetu kwenda kupiga kura ni kupoteza muda.Kutopiga kura ni kupoteza haki yako kikatiba.
Tuuite nini mkuu?Huu uwendawazimu unaoendelea sasa, ndiyo unauita uchaguzi?
Hicho chama unachosema kinajifia ndicho pia kilimtoa jasho huyo mtukufu wenu akawakusanya watendaji nchi nzima na kuwapa maagizo ambayo hata huyo Jafo anayajua.Kuna vyama zaidi ya 25 kwenye daftari la msajiri wa vyama, TPP,UMD,PONA na hata TADEA hawashiriki uchaguzi huu lakini husikii hata huyo Jasho, akiwashauri chochote, ila CHADEMA chama kilichojifia ndicho kinamtoa Jasho.
Hapa sio pole CDM bali pole Tanzania hasahasa Tanganyika.Tutayaelewa huko mbeleni.Poleni CHADEMA
Unaonaje Hilo lingefikiliwa baada ya rufaa kupita,ili tujue sababu za kuenguliwa kwa wagombea na kuwa hata rufaa zimetupwa.Bulshit,Rufaa kwa mahakama ya nyani dhidi ya kima na ndizi?
Kususia ni uamuzi wa busara zadi kwa wenye kujitambua.Siasa za kidunia ndo zilivyo,ukisusa ,unaita mazungumzo mezani,ukishiriki unahalalisha ujinga wa anaekudhulumu kuwa umemba uhalali.
Kushiriki ni umamluki,kususa ni uzlendo wa kweli hasa.
Zito ameokota dodo chini ya mgazi aka mti wa mawese kigoma wanita mise
Soon ACT kitakuwa chama kikuu cha upinzani
State agent
Tunaita kuongopa kwa kutumia takwimu. Haitakiwi kwenye maisha seriousLet’s just say ilikuwa rahisi sana kwa mabeberu kuamua kumuadhibu JK kwa financial sanctions kuliko kwa Magu.
Hiyo asilimia chukua kama kichombezwo tu.
Uchaguzi upo licha kuwa Kuna changamoto kadhaa ambazo viongozi siasa pamoja wasimamizi chaguzi wanapaswa kuzifanyia kazi.Hivi nchi hii bado tuna uchaguzi au uteuzi?!