Bonde la Baraka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2016
- 4,580
- 7,943
Walitabili maana yake nini?Naona mpira umetiwa kwapani saaa
Wengi walitabili hili sasa rasmi CCM imeshinda mapema
Kauli ya mwenyekiti imenukuliwa na vyombo vyote baada ya kikao cha kamati kuu View attachment 1256620
Hiyo Ndio demokrasia
Kama hujajipanga unajiandaa kwa wakati mwingine
TLP itatoa ushindani sasa
Naona mpira umetiwa kwapani saaa

Aliyeweka mpira kwapani humjui au unajivisha upumbavu ?NAONA WAMEWEKA MPIRA KWAPANI BAADA YA KUONA MECHI NGUMU KWAO
plan B ni ipi tindo?Bora tuliogomea huo uhanithi kwa kutokujiandikisha maana tulikuwa sahihi. Ni vyema tuingie kwenye plan B.
plan B ni ipi tindo?
Hahahhaa wametia mpira kwapaniHiyo Ndio demokrasia