Kujitoa CHADEMA maana yake wamejitoa wapiga kura, Hiyo Tarehe 24/11 utaona vituo vya kupigia kura vitupu. Maana wamezoea kuiba kura za chadema na kuzifanya zao sasa wana hahaha kwa sababu watamuibia nani na hakutakuwa na cha kuiba. Kura hazitokuwepo, na wapigaji hutowaona siku hiyo ndiyo maana ccm wanalalama