CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Kujitoa CHADEMA maana yake wamejitoa wapiga kura, Hiyo Tarehe 24/11 utaona vituo vya kupigia kura vitupu. Maana wamezoea kuiba kura za chadema na kuzifanya zao sasa wana hahaha kwa sababu watamuibia nani na hakutakuwa na cha kuiba. Kura hazitokuwepo, na wapigaji hutowaona siku hiyo ndiyo maana ccm wanalalama
 
Usishangae Mwanasheria mkuu wa serikali na waziri wa sheria na katiba wakaja na sheria na Wakapitisha kwamba " chama kikijitoa au kutokushiriki uchaguzi wanakifuta". hii itawakua inawapa shavu ccm kuiba.
 
Jiwe mhuni na kibaka tuu. Hivi semina2 elekezi ndio imetupeleka huku?. CDM mmepata ushindi mwingine. Ushindi wa kuepusha umwagaji damu ili huyo mbwa mwenye rabies awafute
Mmemshinda. Bravooo
 
Alikuwa hatanii aliposema... mshahara nikulipe, gari nikupe....... halafu utangaze mpinzani kashinda" - ujumbe huu akiwa amewapa Wakurugenzi wa Majiji, Manispaa na Miji ambao ni wasimamizi wa uchaguzi.
kwa haya yanayoendelea leo, you need anew approach! a new approach! Kwa haya ya uchaguzi, you are justified for any new approach!
 
Dar washiriki mitaa 24 kati ya 567 ,mbeya ndio wameenguliwa wagombea karibia wote na sehemu zingine hivo hivo.unafikiri haya yametokea kwa bahati mbaya? Nafikiri kabla ya kuandika fikiria kwanza. Kiujumla wangeshiriki au hiv walivyofanya adhari zipo tu. Ila ujue hii hali itaback fire baadae.
 
Wataandika kwenye safari wafuasi deli wa CDM na kujipigia kura. Ukienda vituoni utakuta wako bize kujaza Kira walixoigia nyumbani kwenye masanduku
 
OOOh, Yeah! Haya mambo ya kujiliza liza na kusema CCM wanatumia nguvu, halafu unajiondoa, hayafai. Unataka nani akusaidie hiyo kazi yako ya siasa? Mimi ni mkulima mbona jua likiwaka natafuta mbinu mwenyewe bila kuwalilia wanasiasa?

Wanasiasa wanataka tuwe mateka wa kazi yao. CHADEMA, ACT, pambana na CCM. Wakitoa virungu nanyi toeni virungu. hiyo ni kazi yenu!
 
Uwezo huo hawana. Tatizo ambalo limesumbua sana upinzani kwa muda mrefu ni kuwa wanasiasa ndio wana mikakati wa upinzani. Matokeo yake haya unayoyaona mtalaumu Magufuli bure. Hawakuwa na mbinu nyingine yeyote wakati wa JK; unafikiri watapata sasa? Upinzani hauitaji mbinu nyingine tu; unahitaji uongozi mpya kabisa. Kama wangeniuliza mimi. Hapa mtazungushana hadi hawa wengine watazeeka huku mkiwaangalia; angalieni ya kina Besigye... na yaliyowakuta kina Tshikedi..
 
Msipowatambua inamaana mtaishije huko makwenu?..

Ila mlikuwa kimya hadi nimesoma hamkusaidiana kujaza fomu vizuri.. kama kawaida munasubiri.. ndio munakurupuka..
Acha upumbavu siishi kutegemea hao vilaxa waliowekwa ba mbwa koko mkuu. Sanasana nitawapa kichapo wakileta za kuleta na hivi hakuna policcm!! Punching bag liko bayana
 
Tangu lini umekuwa msemaji wa chadema

Tusiwatambua tutapata utambuzi wa serkali za mtaa kwenye ofisi za mbowe acheni upumbavu wajinga nyie

Waacheni wananchi wapate hudumu

State agent
Mjinga bimkubwa wako kwa kuleta shoga duniani
 
Imenikumbusha enzi ya Sadam Hussein, Alikuwa anashinda kwa asilimia 99 kila uchaguzi....
 
Msipowatambua inamaana mtaishije huko makwenu?..

Ila mlikuwa kimya hadi nimesoma hamkusaidiana kujaza fomu vizuri.. kama kawaida munasubiri.. ndio munakurupuka..

Kwahiyo uwezo wa mtu huwa bora kwa kumfanyia mtihani?

Unaboreshaje akili ya mtu mjinga kuwa kiongozi kwa kumjazia fomu?

Unadhani uwezo wa mbumbumbu hubadilika nakuwa kiongozi bora baada ya kumjazia fomu?

Wanatakiwa kujaza fomu wao wenyewe kwa akili na uelewa wao. Ili sasa kwenye kuwafanyia uchunguzi waliobora wapewe nafasi.

Akili zenu ccm ni ujingaujinga tu.
 
Wenye akili tulijua toka mwanzo kuwa mtasusia tu. Mlipiga propaganda watu wasijiandikishe mkashindwa. Mkawarubuni wagombea wenu waharibu ili wakatwa ionekane mmekatwa kwa kuonewa, ili uchaguzi usifanyike, imeshindikana. Sasa dawa ni kujitoa. Nami nasema, JITOENI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…