CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Viongozi wenu wanasema wawasusie viongozi watakaochaguliwa. Mi nakubali. Lakini viongozi hao walifikiria kabla ya kutoa tamko?
Sina chama, usiseme viongozi wangu, ila naweza kuunga mkono kauli ya Mbowe kupinga UHUNI HUU KWENYE NCHI YANGU. Kuhusu kufikiria subiri uone kama walifikiria muda utaongea
 
Hii nchi inaharibiwa na utawala wa kimabavu, kitambo kidogo itatumbukia shimoni. Ina maana miaka yote wagombea wamekuwa wakijaza fomu hizo hizo bila kukosea iweje mwaka huu tu ndio wakosee? Tutasikia mengi kwenye uchaguzi mkuu ujao.
 
Kwahiyo unataka wapinzani nao webebe bunduki na mapanga kama walivyobeba ccm ?

We mzee lijinga sana, hata aibu huna ?
Uwezo huo hawana. Tatizo ambalo limesumbua sana upinzani kwa muda mrefu ni kuwa wanasiasa ndio wana mikakati wa upinzani. Matokeo yake haya unayoyaona mtalaumu Magufuli bure. Hawakuwa na mbinu nyingine yeyote wakati wa JK; unafikiri watapata sasa? Upinzani hauitaji mbinu nyingine tu; unahitaji uongozi mpya kabisa. Kama wangeniuliza mimi. Hapa mtazungushana hadi hawa wengine watazeeka huku mkiwaangalia; angalieni ya kina Besigye... na yaliyowakuta kina Tshikedi..
 
CCM ililazimisha iwepo idadi kubwa ya kuandikisha wapiga kura jambo ambalo halikuwahi kutokea tangu Uhuru. Nia ya CCM ni kuitumia idadi hiyo kubwa kuonesha inapendwa bila ya kupiga kura. Haya yanayotokea ni kuwaondoa wapinzani kwa kisingizio cha kukosa wapigakura! Na wao kuzoa kura milioni 19!
 
Watanzania hawahitaji vurugu, yaani mtawadanganya yote lakini mnapokuja kwenye point ya vurugu ili wakapiganie tumbo la kiongozi wa chadema hapo hamtampata hata mmoja, ushahidi upo
 
Mungu anataka tulianzishe ili tumchomoe huyu mkoloni mweusi la sivyo tutakuwa kama wale watu wanajifungia ndani wakiomba Mungu awashushie chakula then wakafa kwa njaa.
Vivyo hivyo kuna watu wanaomba afe lakini hafi.
 
Huna uzoefu na hujui chochote uko.kwenye Giza Totoro.Jaribu njia hiyo tu ya wakili bila kutumia viongozi wa. Vitongoji,mitaa na vijiji uone muziki wake .Utatapeliwa Hadi.ukome
Yaani mahakama yaweza tapeliwa, mkuu unanitishia au huko nako kuna maagizo? Iko hivi,
ngoja nikutoe kwenye hilo giza totoro ulikozama.
Unatumia wakili na mahakama. Mahakama inaweza kuwaita watu wowote itakavyotaka ikiwa ni pamoja na vibaraka wenyeviti kama mashahidI (nimeshawahi fanya hivi kukwepa usumbufu NA NJAA ZA WENEVITI)i,
 
Walitengeneza idadi kubwa ya majina feki ya wapigakura. Siyo idadi ya wananchi waliojiandikisha
 
Wagombea wa CHADEMA wameharibu form kwa Sababu walikuwa kama mbuzi wasio na mchunga ili takiwa wapate sample ya hizo form kwanza kisha ndio wajaze ni makosa ya uongozi mbovu ambae ni Mbowe
Pia sina kumbukumbu kama Mbowe alishawahi kususia uchaguzi wa wabungu na yeye mwenyewe akiwa ni mgombea
 
CCM haipendwi tokea kitambo ila kwa sasa hata wanaCCM watakuwa hawapendwi kwa sababu ya siasa za kishamba za mwenyekiti wao.
 
Si wewe tu , nimepigiwa simu nyingi mno za ndani na nje ya nchi kwa ajili ya pongezi za Chadema kwa kukataa kushirikiana na Shetani .
Haiwezekana tukabariki ushenzi wa CCM n mwenyekiti wao rahisi rahisi. Mungu mwema hasira itawaka mioyoni mwetu na tutafuta uhuru kwa njia mbadala.
 
Back
Top Bottom