Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Sina chama, usiseme viongozi wangu, ila naweza kuunga mkono kauli ya Mbowe kupinga UHUNI HUU KWENYE NCHI YANGU. Kuhusu kufikiria subiri uone kama walifikiria muda utaongeaViongozi wenu wanasema wawasusie viongozi watakaochaguliwa. Mi nakubali. Lakini viongozi hao walifikiria kabla ya kutoa tamko?
Wanatuharibia nchi hawajui watatumbukia wao na sisi nawashangaa maaskofu wakatoliki kukaa kimya
Kutopiga kura ni kupoteza haki yako kikatiba.
Msipowatambua inamaana mtaishije huko makwenu?..
Ila mlikuwa kimya hadi nimesoma hamkusaidiana kujaza fomu vizuri.. kama kawaida munasubiri.. ndio munakurupuka..
Uwezo huo hawana. Tatizo ambalo limesumbua sana upinzani kwa muda mrefu ni kuwa wanasiasa ndio wana mikakati wa upinzani. Matokeo yake haya unayoyaona mtalaumu Magufuli bure. Hawakuwa na mbinu nyingine yeyote wakati wa JK; unafikiri watapata sasa? Upinzani hauitaji mbinu nyingine tu; unahitaji uongozi mpya kabisa. Kama wangeniuliza mimi. Hapa mtazungushana hadi hawa wengine watazeeka huku mkiwaangalia; angalieni ya kina Besigye... na yaliyowakuta kina Tshikedi..
Ushindi wa 99.9%
Vivyo hivyo kuna watu wanaomba afe lakini hafi.Mungu anataka tulianzishe ili tumchomoe huyu mkoloni mweusi la sivyo tutakuwa kama wale watu wanajifungia ndani wakiomba Mungu awashushie chakula then wakafa kwa njaa.
Yaani mahakama yaweza tapeliwa, mkuu unanitishia au huko nako kuna maagizo? Iko hivi,Huna uzoefu na hujui chochote uko.kwenye Giza Totoro.Jaribu njia hiyo tu ya wakili bila kutumia viongozi wa. Vitongoji,mitaa na vijiji uone muziki wake .Utatapeliwa Hadi.ukome
Haiwezekana tukabariki ushenzi wa CCM n mwenyekiti wao rahisi rahisi. Mungu mwema hasira itawaka mioyoni mwetu na tutafuta uhuru kwa njia mbadala.Si wewe tu , nimepigiwa simu nyingi mno za ndani na nje ya nchi kwa ajili ya pongezi za Chadema kwa kukataa kushirikiana na Shetani .