CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Wacha shetani azidi kuwapa kiburi cha madaraka, ili kukuche haina budi giza kutamalaki. Serious kuna viumbe watashangilia ushindi wa kishindo huu!? Si mbali kijani hakitavaliki mtaani.
 
Acha kuleta mafunza yako kwenye hili jukwaa wewe!;Kichwa fuata bendera.
 
Sina chama, usiseme viongozi wangu, ila naweza kuunga mkono kauli ya Mbowe kupinga UHUNI HUU. Kuhusu kufikiria subiri uone kama walifikiria muda utaongea
Chukulia mfano mwana Chadema anaenda kufungua akaunti benki na inatakiwa barua yake isainiwe na mwenyekiti wa serikali ya mtaa. Inakuwaje hapo? Think big!
 
DJ kashavuta chake picha kamili mwakani uchaguzi mkuu 😀😀😀 kina Rema, sugu, halima mdee, john mnyika hawatamini kitakachotokea DJ atatangaza hivi hivi kuwa CDM haitoshiriki uchaguzi mkuu na wala haitisimamisha mgombea wa kitu cha urais sababu hakuna demokrasia 😀😀😀 baada ya press conference DJ uyo ulaya kimya

Screen short nachokisema hapa utaona DJ kapwaya, chezea ngosha wewe😀😀
 
Chukulia mfano mwana Chadema anaenda kufungua akaunti benki na inatakiwa barua yake isainiwe na mwenyekiti wa serikali ya mtaa. Inakuwaje hapo? Think big!
KWANZA ANAYETAKIWA KUSAINI NI MTENDAJI WA KIJIJI SIO MWENYEKITI. Mtendaji ni mwajiliwa wa serikali na analipwa mshahara, hawa wenyeviti kazi zao ni kuendesha vikao na kutatua migogoro kama ipo.

Labda wakina Magufuli wapindishe mambo kuhalarisha hiri mana ndio TABIA YA AWAMU HII. Kama utaona mwenyekiti kasaini hizo barua ni kujiongeza mana huwa wanawatoza tozo flan ili wajiongezee kipato na watendaji wanakula kuku huko ngazi ya kata mana hawana shida wakiwa kama waajiliwa kwa kuwa mwisho wa mwezi mshahara unaingia benki
 
Hii si ni kheri kwa ccm?
 
Kwa hili Chadema nawapongeza tena sana kuliko kushiriki uchaguzi haramu, huu siyo uchaguzi ni uchafuzi wa uchaguzi
 
Tuache visingizio tupambane kwa hoja tushawishi wapiga kura
 
Mbona mnateseka nyinyi ccm badala ya waliogoma?
 
Msipowatambua inamaana mtaishije huko makwenu?..

Ila mlikuwa kimya hadi nimesoma hamkusaidiana kujaza fomu vizuri.. kama kawaida munasubiri.. ndio munakurupuka..

Nchi nzima CCM ndo hawakukosea, acha upumbavu!!
 
Hata ukija uongozi mpya utafanya nini zaidi ya hapa? Hivi unafaham ccm sio chama cha siasa tena? Siasa za sasa ni Upinzani Vs Polisi
Viongozi wakuu wote wa upinzani wanashinda mahakamani
Hakuna kipindi hatari sana kuikosoa Serikali kama awamu hii ya tano chini ya kiongozi wao jiwe, muulize Mh Lissu kuhusu hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…