Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Wana mbinu za kitoto sana sana lakini hii chuki hii haya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watawatambua tu hizo ni siasa tu bwashee! Ukitaka kuamini Hilo subiri wapate shida kwenye mtaa halafu utaona Nani watamhitaji kwa wakati huoSasa Kazi ndio imeanza rasmi
Acha kuleta mafunza yako kwenye hili jukwaa wewe!;Kichwa fuata bendera.DJ kanyooka anamgwaya meko balaa, yani kiufupi kaufyata sasa anawauza wenzie awamu ya pili
Awamu ya kwanza kawauza kwa EDO
Awamu ya pili anawauza kususia uchaguzi eti hatutawatambua viongozi ambao watachaguliwa yani utoto utoto tu hivi hawa si walisema hawatamtambua meko wakasusia mpaka kikao siku anahutubia bunge je leo bado hawamtambui
DJ kawauza wenzake tena CDM imernda na Dr slaa.
Chukulia mfano mwana Chadema anaenda kufungua akaunti benki na inatakiwa barua yake isainiwe na mwenyekiti wa serikali ya mtaa. Inakuwaje hapo? Think big!Sina chama, usiseme viongozi wangu, ila naweza kuunga mkono kauli ya Mbowe kupinga UHUNI HUU. Kuhusu kufikiria subiri uone kama walifikiria muda utaongea
Ni kichaa tu ndiyo anaweza kushiriki uchaguzi huu wa kihuni
Sawa mkuu nimekusoma.Hahaha, CCM ndio husema ni chama kinachojifia, mimi nimechagiza tu. Soma tena utaelewa tu.
DJ kashavuta chake picha kamili mwakani uchaguzi mkuu 😀😀😀 kina Rema, sugu, halima mdee, john mnyika hawatamini kitakachotokea DJ atatangaza hivi hivi kuwa CDM haitoshiriki uchaguzi mkuu na wala haitisimamisha mgombea wa kitu cha urais sababu hakuna demokrasia 😀😀😀 baada ya press conference DJ uyo ulaya kimyaSafi Mbowe kacheza Kama Mchezaji wa zamani wa Moira Pele.
Seif sharrif Hamadi aliwabwaga CUF Zanzibar kwa kususa uchaguzi Zanzibar Hadi Leo hakuna mbunge Wala mjumbe wa Baraza la wawakilishi hata mmoja baada ya Seif kuifungia goli CCM
Mbowe naye kacheza mpira Safi kaifungia goli CCM la viongozi wa serikali za mitaa,vijiji na Vitongoji..Kama Seif Sharrif Hamad alivyocheza kwa niaba ya CCM na Mbowe kacheza vile vile
Acha unafiki sasaHatupo china na mwalimu hayupo. Deal with it..
KWANZA ANAYETAKIWA KUSAINI NI MTENDAJI WA KIJIJI SIO MWENYEKITI. Mtendaji ni mwajiliwa wa serikali na analipwa mshahara, hawa wenyeviti kazi zao ni kuendesha vikao na kutatua migogoro kama ipo.Chukulia mfano mwana Chadema anaenda kufungua akaunti benki na inatakiwa barua yake isainiwe na mwenyekiti wa serikali ya mtaa. Inakuwaje hapo? Think big!
Hii si ni kheri kwa ccm?La Chadema kususa kutambua viongozi wa mitaa,vijijini na vitongoji maisha ya wanachadema wenye kushikilia hiyo misimamo maisha yao hayatasonga sababu hawataweza kuuza au kununua migodi ,mashamba ,nyumba nk bila kuidhinishwa na viongozi wa vitongozi,vijiji au mitaa
PumbaMsipowatambua inamaana mtaishije huko makwenu?..
Ila mlikuwa kimya hadi nimesoma hamkusaidiana kujaza fomu vizuri.. kama kawaida munasubiri.. ndio munakurupuka..
Mbona mnateseka nyinyi ccm badala ya waliogoma?DJ kanyooka anamgwaya meko balaa, yani kiufupi kaufyata sasa anawauza wenzie awamu ya pili
Awamu ya kwanza kawauza kwa EDO
Awamu ya pili anawauza kususia uchaguzi eti hatutawatambua viongozi ambao watachaguliwa yani utoto utoto tu hivi hawa si walisema hawatamtambua meko wakasusia mpaka kikao siku anahutubia bunge je leo bado hawamtambui
DJ kawauza wenzake tena CDM imernda na Dr slaa.
Msipowatambua inamaana mtaishije huko makwenu?..
Ila mlikuwa kimya hadi nimesoma hamkusaidiana kujaza fomu vizuri.. kama kawaida munasubiri.. ndio munakurupuka..
Hata ukija uongozi mpya utafanya nini zaidi ya hapa? Hivi unafaham ccm sio chama cha siasa tena? Siasa za sasa ni Upinzani Vs PolisiUwezo huo hawana. Tatizo ambalo limesumbua sana upinzani kwa muda mrefu ni kuwa wanasiasa ndio wana mikakati wa upinzani. Matokeo yake haya unayoyaona mtalaumu Magufuli bure. Hawakuwa na mbinu nyingine yeyote wakati wa JK; unafikiri watapata sasa? Upinzani hauitaji mbinu nyingine tu; unahitaji uongozi mpya kabisa. Kama wangeniuliza mimi. Hapa mtazungushana hadi hawa wengine watazeeka huku mkiwaangalia; angalieni ya kina Besigye... na yaliyowakuta kina Tshikedi..