Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Dada wewe ni mwenyekiti mgombea, au kuna mtu wako wa karibu anagombea au ni mheshimiwa flani hivi? Mana swaga zako zaelekea huko hongera zako, unapendeza kwa posho na malupulupu yatokanayo na kodi zetuItakuwa hawana hela za kusimamia kampeni.
Hata uchaguzi mkuu itakuwa hivi. Note me!
Sasa Kama mnajua mnakubalika uoga wa Nini Hili jitu Lina damu ya Kirundi lipo tayari kuua ili lisipate watu Wenye akili watakao Leta challenge kwenye utawala wake wa kidhalimu..But one thing I assured you Upinzani ndo unaimarika kuliko wakati mwingne.Kwani hata kama mngeshiriki mgeshinda? Mmekimbia aibu ambayo mngepata, hamna lolote
nisaidie kuelewa namna ambavyo hawo wenyeviti hawatotambuliwa.Hutumii akili zako vizuri ndugu kumbuka kukuchekea siyo kufurahi na wewe
hatari gani inaenda kutokea? coming january 2020 kila mtu atakuwa kasahau kila kitu, business as ususal.Maana yake ccm wanabomoa taifa. Hii ni zaidi ya kutengeneza vita ya wenyewe kwa wenyewe
Usichukulie kilahisi hivo matamko yakisiasa
Hatari kubwa mitaani unakoenda kutokea
Mkuu unaheshimika sana. Je unaona kuna mazingira sawa ya kisiasa nchini? juzi wagombea walitendewa haki? kwanza kuwe na mazingira sawa ya kisiasa hala ndio tulaumu mengine.. hata wakija wapya kama mazingi tuliyokweka ni hayahaya...
we unafikiria kuna kampeni, ni kupita bila kupingwaTuache visingizio tupambane kwa hoja tushawishi wapiga kura
Watanzania hawahitaji vurugu, yaani mtawadanganya yote lakini mnapokuja kwenye point ya vurugu ili wakapiganie tumbo la kiongozi wa chadema hapo hamtampata hata mmoja, ushahidi upo
hatari gani inaenda kutokea? coming january 2020 kila mtu atakuwa kasahau kila kitu, business as ususal.
huna ulichoandika chenye maana hivi hujaeleza kitakachotokea kwa wao kugomea uchaguzi tunaathirika na nini? waende wakacheze huko wacha wanaume tuendeshe nchiUnajuwa watu wanachukua poa nakusimama kwenye mimbari kuita upinzani vilaza while upinzani ndio inawatu smart sana. Huo ndio ukweli na ss kama ccm lazima tukubali hili.
Well sina shak tutashinda kwa kishindo ila kwa haka kamchezo upinzani wanagoma tusifurahie maana yajayo yanafurahisha.
Mungu utukumbuke Watanzania kama mwal pale UK alivyo sali Mungu alikumbuke taifa hili. Mpe macho ya rohon rais wetu kujuwa amezungukwa na makuwadi wa siasa wanao mpaka mafuta kwa mgongo wa chupa wakati heshima ya taifa hili kimataifa ikishuka.
Mungu tusaidie ktk hili. Amen
Kwahiyo uongozi mpya ndo utafanya siasa endapo zimezuiliwa na hata zikiruhusiwa na hujuma. Kwa maoni yako, viongozi wapya wangefaanyaje mkuu? TehUwezo huo hawana. Tatizo ambalo limesumbua sana upinzani kwa muda mrefu ni kuwa wanasiasa ndio wana mikakati wa upinzani. Matokeo yake haya unayoyaona mtalaumu Magufuli bure. Hawakuwa na mbinu nyingine yeyote wakati wa JK; unafikiri watapata sasa? Upinzani hauitaji mbinu nyingine tu; unahitaji uongozi mpya kabisa. Kama wangeniuliza mimi. Hapa mtazungushana hadi hawa wengine watazeeka huku mkiwaangalia; angalieni ya kina Besigye... na yaliyowakuta kina Tshikedi..
101%Ushindi wa 99.9%
Wanamaanisha MaCCM mnajitekenya na kujichekea wenyewe.Mitaani wanachadema wanapiga kelele za faulo kuwa Kamati kuu ya chadema imeuza mechi kwa CCM .
Hivi wanamaanisha Nini?
Unabii![emoji30][emoji30][emoji30][emoji30] View attachment 1257249
Yani ubunifu gani wakati hadi refa mwenyewe ni mwenzenu.Kaka! Uko serious kweli? Mshindani mwenzako akipe nafasi sawa yakushindana nae? Haya ni mapambano, ukiingia ulingoni na mtizamo kwamba adui sometimes atakuwa anakupa offer nawewe upige moja kwakuwa amekupiga tatu mfululizo....ni hakili za ajabu mno! Siasa ni ujanja, ubunifu etc. Unategwa na kitu kidogo sana KANUNI! Na unaingia mwenyewe! UBUNIFU HUO.