CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Itakuwa hawana hela za kusimamia kampeni.

Hata uchaguzi mkuu itakuwa hivi. Note me!
Dada wewe ni mwenyekiti mgombea, au kuna mtu wako wa karibu anagombea au ni mheshimiwa flani hivi? Mana swaga zako zaelekea huko hongera zako, unapendeza kwa posho na malupulupu yatokanayo na kodi zetu
 
Kwani hata kama mngeshiriki mgeshinda? Mmekimbia aibu ambayo mngepata, hamna lolote
Sasa Kama mnajua mnakubalika uoga wa Nini Hili jitu Lina damu ya Kirundi lipo tayari kuua ili lisipate watu Wenye akili watakao Leta challenge kwenye utawala wake wa kidhalimu..But one thing I assured you Upinzani ndo unaimarika kuliko wakati mwingne.
 
Vyama vimejitoa vingapi? kilichojitoa ni kimoja tu .Vingine vitashiriki Kama kawaida
 
hawana jipya hao wahuni tu wameona hawatapata kitu wametoka ndukiiiiii ngoja na mwakani utasikia hawaweki wagombea ubunge
 
Maana yake ccm wanabomoa taifa. Hii ni zaidi ya kutengeneza vita ya wenyewe kwa wenyewe

Usichukulie kilahisi hivo matamko yakisiasa

Hatari kubwa mitaani unakoenda kutokea
hatari gani inaenda kutokea? coming january 2020 kila mtu atakuwa kasahau kila kitu, business as ususal.
 
Kaka! Uko serious kweli? Mshindani mwenzako akipe nafasi sawa yakushindana nae? Haya ni mapambano, ukiingia ulingoni na mtizamo kwamba adui sometimes atakuwa anakupa offer nawewe upige moja kwakuwa amekupiga tatu mfululizo....ni hakili za ajabu mno! Siasa ni ujanja, ubunifu etc. Unategwa na kitu kidogo sana KANUNI! Na unaingia mwenyewe! UBUNIFU HUO.
Mkuu unaheshimika sana. Je unaona kuna mazingira sawa ya kisiasa nchini? juzi wagombea walitendewa haki? kwanza kuwe na mazingira sawa ya kisiasa hala ndio tulaumu mengine.. hata wakija wapya kama mazingi tuliyokweka ni hayahaya...
 
Watanzania wenye akili hawawezi kuimba,kusifu na kuabudu binadamu mwenzake kuliko wanavyomwabudu Mungu wao aliyewaumba.
Watanzania hawahitaji vurugu, yaani mtawadanganya yote lakini mnapokuja kwenye point ya vurugu ili wakapiganie tumbo la kiongozi wa chadema hapo hamtampata hata mmoja, ushahidi upo
 
hatari gani inaenda kutokea? coming january 2020 kila mtu atakuwa kasahau kila kitu, business as ususal.

Usikariri
Siku zinaenda
Jana sio leo
Wajana sio wa kesho
Historia hutengezwa kwa matukio
Kila jambo nawakati wake
 
Unajuwa watu wanachukua poa nakusimama kwenye mimbari kuita upinzani vilaza while upinzani ndio inawatu smart sana. Huo ndio ukweli na ss kama ccm lazima tukubali hili.

Well sina shak tutashinda kwa kishindo ila kwa haka kamchezo upinzani wanagoma tusifurahie maana yajayo yanafurahisha.

Mungu utukumbuke Watanzania kama mwal pale UK alivyo sali Mungu alikumbuke taifa hili. Mpe macho ya rohon rais wetu kujuwa amezungukwa na makuwadi wa siasa wanao mpaka mafuta kwa mgongo wa chupa wakati heshima ya taifa hili kimataifa ikishuka.

Mungu tusaidie ktk hili. Amen
huna ulichoandika chenye maana hivi hujaeleza kitakachotokea kwa wao kugomea uchaguzi tunaathirika na nini? waende wakacheze huko wacha wanaume tuendeshe nchi
 
Hongereni lakini uchaguzi huu ndio maandalizi ya uchaguzi mkuu mwakani.
 
Uwezo huo hawana. Tatizo ambalo limesumbua sana upinzani kwa muda mrefu ni kuwa wanasiasa ndio wana mikakati wa upinzani. Matokeo yake haya unayoyaona mtalaumu Magufuli bure. Hawakuwa na mbinu nyingine yeyote wakati wa JK; unafikiri watapata sasa? Upinzani hauitaji mbinu nyingine tu; unahitaji uongozi mpya kabisa. Kama wangeniuliza mimi. Hapa mtazungushana hadi hawa wengine watazeeka huku mkiwaangalia; angalieni ya kina Besigye... na yaliyowakuta kina Tshikedi..
Kwahiyo uongozi mpya ndo utafanya siasa endapo zimezuiliwa na hata zikiruhusiwa na hujuma. Kwa maoni yako, viongozi wapya wangefaanyaje mkuu? Teh
 
Kaka! Uko serious kweli? Mshindani mwenzako akipe nafasi sawa yakushindana nae? Haya ni mapambano, ukiingia ulingoni na mtizamo kwamba adui sometimes atakuwa anakupa offer nawewe upige moja kwakuwa amekupiga tatu mfululizo....ni hakili za ajabu mno! Siasa ni ujanja, ubunifu etc. Unategwa na kitu kidogo sana KANUNI! Na unaingia mwenyewe! UBUNIFU HUO.
Yani ubunifu gani wakati hadi refa mwenyewe ni mwenzenu.
 
Back
Top Bottom