Wapinzani wa hapa Tanzania wanapenda na wanaweza kufanya siasa 'kivulini'. Wakibanwa kidogo hawana mbinu nyingine zaidi ya kuridi kwa wananchi kueleza changamoto na malalamiko.
Kujaza fomu sio mtihani kuwa kila.mmoja anajaza chumba Cha mtihani peke yake kiasi kuwa useme Kama upinzani walikosea na CCM lazima wakosee.hivi wewe mkuu hata kama kwa mahaba ya chama chako, yaliyofanyika unaona ni sawa? kwamba hao wapinzani tu ndo waliwekewa pingamizi, ndo hawajui kujaza fomu, ccm nchi nzima hakuna mgombea hata mmoja aliyekosea, unaona ni haki?
just give out your predictions ya yatayotokeaUsikariri
Siku zinaenda
Jana sio leo
Wajana sio wa kesho
Historia hutengezwa kwa matukio
Kila jambo nawakati wake
Muda utakuelewesha subirinisaidie kuelewa namna ambavyo hawo wenyeviti hawatotambuliwa.
inawezekana vipi usimtambue mtu unayehitaji muhuli wake kila mara?
Nani atakusikia bank kwamba humtambui mwenyekiti wako?
Kama play field haiko level,hata wewe ungekimbia.WAKATI.MUAFAKA SASA KUANGALIA NA UPANDE WA HIZI RUZUKU ZA VYAMA VYA UPINZANI
KAMA.KILA CHAGUZI WANAKIMBIA JE WANASTAHILI KUENDELEA KUPEWA RUZUKU
SIDHAN
Itakuwa hawana hela za kusimamia kampeni.
Hata uchaguzi mkuu itakuwa hivi. Note me!
just give out your predictions ya yatayotokea
Kuelewa ndio shida...unajua maana ya haki sawa.. ndio maana hata mabondia wanapimwa uzito..hata timu za mpira zina idadi ya wachezaji sawa..usiandike kwakua una bando!!!Kaka! Uko serious kweli? Mshindani mwenzako akipe nafasi sawa yakushindana nae? Haya ni mapambano, ukiingia ulingoni na mtizamo kwamba adui sometimes atakuwa anakupa offer nawewe upige moja kwakuwa amekupiga tatu mfululizo....ni hakili za ajabu mno! Siasa ni ujanja, ubunifu etc. Unategwa na kitu kidogo sana KANUNI! Na unaingia mwenyewe! UBUNIFU HUO.