Katashekadm
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 728
- 775
Lbda wewe!!Nimeelewa sera za ma - Bombadier na ma-Dreamliner n.k haziwagusi wananchi lazima awamu hii ya tano inadilike na kuja na sera zinazowagusa wananchi wote wanyonge waishio mijini na vijijini.
Acha atetee mkate wake was Kila Siku!!Dr Slaa ambaye ni Akili kubwa ambaye toka alivyoondoka kwenye siasa za hovyo ametoa nasaha kwa vyama vya siasa Nchini. View attachment 1258492
JE kuchagua CHAMA au mtu ambaye wananchi wanamtaka si haki ya kupiganiwa? Je haki ya kuishi salama si haki ya kupiganiwa? JE HAKI YA KUHOJI MATUMIZI MABAYA YA RASILIMALI SI HAKI YA KUHOJI?Dr Slaa ambaye ni Akili kubwa ambaye toka alivyoondoka kwenye siasa za hovyo ametoa nasaha kwa vyama vya siasa Nchini. View attachment 1258492
Aisee ukiwa mwanasiasa inabdi uwe na kifua..sio kwa matusi haya duuuuuuu
Km hayo unayosema Ni haki ya wananchi kweli ngoja tusubiri reaction ya wananchi.JE kuchagua CHAMA au mtu ambaye wananchi wanamtaka si haki ya kupiganiwa? Je haki ya kuishi salama si haki ya kupiganiwa? JE HAKI YA KUHOJI MATUMIZI MABAYA YA RASILIMALI SI HAKI YA KUHOJI?
KUNA TOFAUTI KATI YA UZEMBE NA UZEE...
Mzee umeelewekahivi hiyu ni yule slaa nimjuaye kawa mpumbavu kiasi hiki kweli njaa ni adui wa akili
Dr Slaa ambaye ni Akili kubwa ambaye toka alivyoondoka kwenye siasa za hovyo ametoa nasaha kwa vyama vya siasa Nchini. View attachment 1258492
A real selloutDr Slaa ambaye ni Akili kubwa ambaye toka alivyoondoka kwenye siasa za hovyo ametoa nasaha kwa vyama vya siasa Nchini.
View attachment 1258492
Kuna tusi gani ambalo hakutukanwa na wana CCM kipindi yupo upinzani?.Huyu ndio alikuwa mpinzani wa kweli waliobaki masnitch kina zito ni wachumia tumbo na wala ruzuku kama mbowe
State agent
We mbwa kabisa, washiriki vipi wkt more than 90 % wameenguliwa? U r a dogAfadhali wametuokolea mda na gharama japo hizo gharama sijui km zitarudishwa serikalini.
Lkn gharama na hasara ya chadema kujitoa ni kubwa kwa baadae kuliko ambavyo ingeshiriki lkn hii dhana inahitaji kwa mtu mwenye jicho la mwewe ndio ajue ninamaanisha nini,