CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Nimeelewa sera za ma - Bombadier na ma-Dreamliner n.k haziwagusi wananchi lazima awamu hii ya tano inadilike na kuja na sera zinazowagusa wananchi wote wanyonge waishio mijini na vijijini.
Lbda wewe!!
 
Dr Slaa ambaye ni Akili kubwa ambaye toka alivyoondoka kwenye siasa za hovyo ametoa nasaha kwa vyama vya siasa Nchini. View attachment 1258492
JE kuchagua CHAMA au mtu ambaye wananchi wanamtaka si haki ya kupiganiwa? Je haki ya kuishi salama si haki ya kupiganiwa? JE HAKI YA KUHOJI MATUMIZI MABAYA YA RASILIMALI SI HAKI YA KUHOJI?
KUNA TOFAUTI KATI YA UZEMBE NA UZEE...
 
Aisee ukiwa mwanasiasa inabdi uwe na kifua..sio kwa matusi haya duuuuuuu
 
JE kuchagua CHAMA au mtu ambaye wananchi wanamtaka si haki ya kupiganiwa? Je haki ya kuishi salama si haki ya kupiganiwa? JE HAKI YA KUHOJI MATUMIZI MABAYA YA RASILIMALI SI HAKI YA KUHOJI?
KUNA TOFAUTI KATI YA UZEMBE NA UZEE...
Km hayo unayosema Ni haki ya wananchi kweli ngoja tusubiri reaction ya wananchi.
Mwananchi hiyo demokrasia wanayoidai wapinzani haiwahusu na ndio maana unaona hawana habari kama vile hawajui kinachoendelea. Huku mitaani kila mtu pongezi kwa Magufuli.
 
CCM ndio nyie Leo mnamsifia Slaa? Unafiki kiwango cha lami, hakika hamjui mlisemalo
 
Amshauri aliyempa kazi sio vyama vya siasa
Who the he*%# l is he kutupangia
Atuache na shida zetu
 
Ni aibu ya kihistoria Chadema walichomtendea huyu mzee.
 
Dr Slaa ambaye ni Akili kubwa ambaye toka alivyoondoka kwenye siasa za hovyo ametoa nasaha kwa vyama vya siasa Nchini.
View attachment 1258492
A real sellout
Kama ni maji na huduma muhimu bila uhuru wa mawazo na haki za binadamu Si wakoloni wangetupa kirahisi kila kitu? Tungekuwa kama Hong Kong.
Kasahau kwa nini tulidai uhuru?

hata padri anadanganya kiasi hiki ili akamilishe mahitaji ya tumbo basi ni balaaa!!
 
Umnyime mtu haki za binadamu maji na barabara yatakuwa na faida gani?
 
Afadhali wametuokolea mda na gharama japo hizo gharama sijui km zitarudishwa serikalini.
Lkn gharama na hasara ya chadema kujitoa ni kubwa kwa baadae kuliko ambavyo ingeshiriki lkn hii dhana inahitaji kwa mtu mwenye jicho la mwewe ndio ajue ninamaanisha nini,
We mbwa kabisa, washiriki vipi wkt more than 90 % wameenguliwa? U r a dog
 
Back
Top Bottom