Katashekadm
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 728
- 775
Lbda wewe!!Nimeelewa sera za ma - Bombadier na ma-Dreamliner n.k haziwagusi wananchi lazima awamu hii ya tano inadilike na kuja na sera zinazowagusa wananchi wote wanyonge waishio mijini na vijijini.