CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Wewe unayeishi hapa nchini kwa kujifanya mara afisa usalama mara mjaruo mara mkurya wakati wewe ni mtaita uliyefukuzwa kwenu kwa utapeli
Kumbe lengo la Chama cha Demokrasia na Maendeleo kujitoa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni kutaka kuitwa na serikali wabembelezwe eti Ndiyo warudi wallahi hii imekula kwenu siyo kwa Dr John Pombe Magufuli.
Mkakati huu umeandaliwa na Umoja wa Ulaya kupitia Ubalozi wao hapa nchini.
Mpango huu wa kujitoa ni Mahususi ili Umoja wa Ulaya ushinikize kufanyika mkutano wa maridhiano kati ya Serikali na vyama vya Upinzani.

Taarifa kutoka ndani Chadema zinadai Mkakati huu ni ilipangwa Maalum kwa ajili ya kujiandaa na Uchaguzi mkuu mwakani na unaratibiwa na mtu moja anayedaiwa ni ndugu wa mmoja wa Viongozi wakuu wa Chadema anayefanya kazi katika moja ya Balozi katika nchi za Magharibi.

Kosa ambalo serikali imefanya kwa Muda mrefu ni kuwadekeza na kuwapendelea vyama vya Upinzani kiasi kwamba wakajiona ni haki yao kutozingatia sheria na Kanuni.

Wamekuwa wakifanya makosa ya makusudi kabisa Hivi inaingiaje akilini chama cha siasa kukaa na Viongozi wakuu wa kukaimu kwa Muda wa miaka mitatu bila kufanya Uchaguzi ndani ya chama chao.
Inaingiaje akilini chama kinachojidai kuwa ni chama kikuu cha Upinzani kinashindwa hata kutoa ratiba ya Uchaguzi ndani ya chama pamoja na Msajili kuwaandikia barua ya kuwakumbusha kufanya Uchaguzi kwa mujibu wa sheria ya Vyama lakini bado wanakuja na porojo kuwa wanaonewa.

Akili yao wanadhani wakifutwa wanachafua nchi Kimataifa eti huo Ndiyo Mkakati wao wa Kisiasa.
Wakiambiwa Dr Wilbroad Peter Silaa ndiye alikuwa kamusi ya chama wananuna.
Tunawaambia TRAIN IKIONDOKA HAIRUDI RIVASI KAZI YA MWANAUME HAPEWI MVULANA.
 
Unatujazia tu serve kwa mambo ya HOVYO mno uliyo andika!
Mods muwe mnaondoa upuuz kama huu
 
Umeandika Upuuzi mtupu.Ni kama hauoni kinachoendelea.Au ndio nyie mnaoshibishwa Na Awamu hii mwishowe mmekengeuka Na kuwa Wapofu Hata kwenye kweli mnasimamia upande wa hujuma tu.Stupid

Kwani wewe hupendi maridhiano mkuu!!?
 
Waliojitoa ni CHADEMA, ila wanaolalamika ni CCM.

Hivi wana-CCM wenzangu mna matatizo gani?

Hivi mshindani wako akisusia mashindano 'halali' inakuuma nini?

Tuache ujinga na upumbavu uliovuka mipaka
 
Naona unajitekenya na kujichekesha unafiki mbaya

Rubbish.
 
Jamaa umeandika pumba zakutosha kula NGURUWE ZANGU MWEZI MZIMA
Kumbe lengo la Chama cha Demokrasia na Maendeleo kujitoa kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ni kutaka kuitwa na Serikali wabembelezwe eti Ndiyo warudi wallahi hii imekula kwenu siyo kwa Dr John Pombe Magufuli.

Mkakati huu umeandaliwa na Umoja wa Ulaya kupitia Ubalozi wao hapa nchini.

Mpango huu wa kujitoa ni Mahususi ili Umoja wa Ulaya ushinikize kufanyika mkutano wa maridhiano kati ya Serikali na vyama vya Upinzani.

Taarifa kutoka ndani Chadema zinadai Mkakati huu ni ilipangwa Maalum kwa ajili ya kujiandaa na Uchaguzi mkuu mwakani na unaratibiwa na mtu moja anayedaiwa ni ndugu wa mmoja wa Viongozi wakuu wa Chadema anayefanya kazi katika moja ya Balozi katika nchi za Magharibi.

Kosa ambalo serikali imefanya kwa Muda mrefu ni kuwadekeza na kuwapendelea vyama vya Upinzani kiasi kwamba wakajiona ni haki yao kutozingatia sheria na Kanuni.

Wamekuwa wakifanya makosa ya makusudi kabisa Hivi inaingiaje akilini chama cha siasa kukaa na Viongozi wakuu wa kukaimu kwa Muda wa miaka mitatu bila kufanya Uchaguzi ndani ya chama chao.

Inaingiaje akilini chama kinachojidai kuwa ni chama kikuu cha Upinzani kinashindwa hata kutoa ratiba ya Uchaguzi ndani ya chama pamoja na Msajili kuwaandikia barua ya kuwakumbusha kufanya Uchaguzi kwa mujibu wa sheria ya Vyama lakini bado wanakuja na porojo kuwa wanaonewa.

Akili yao wanadhani wakifutwa wanachafua nchi Kimataifa eti huo Ndiyo Mkakati wao wa Kisiasa.

Wakiambiwa Dr Wilbroad Peter Silaa ndiye alikuwa kamusi ya chama wananuna.

Tunawaambia TRAIN IKIONDOKA HAIRUDI RIVASI KAZI YA MWANAUME HAPEWI MVULANA.
 
Jaffo atakuwa kafurahi kweli na kushangilia hahaha
 
Back
Top Bottom