Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akipe chama chake ccmDr Slaa ambaye ni Akili kubwa ambaye toka alivyoondoka kwenye siasa za hovyo ametoa nasaha kwa vyama vya siasa Nchini. View attachment 1258492
Msaliti ndio wapinzani wa kweli? UnachekeshaHuyu ndio alikuwa mpinzani wa kweli waliobaki masnitch kina zito ni wachumia tumbo na wala ruzuku kama mbowe
State agent
Mpinzani wa kweli daima hubaki na msimamo,huyo kwasasa ni sawa na Mtumishi asiye na la kusema mbele ya Bwana wake.Atasema nini Mbele ya aliye mteua?Unafikiri hapendi ugali wake?Huyu ndio alikuwa mpinzani wa kweli waliobaki masnitch kina zito ni wachumia tumbo na wala ruzuku kama mbowe
State agent
Dr Slaa Amelewa pesa za kujichotea.Dr Slaa ambaye ni Akili kubwa ambaye toka alivyoondoka kwenye siasa za hovyo ametoa nasaha kwa vyama vya siasa Nchini. View attachment 1258492
Pole sana maana hata kiswahili hakipandi.BORA kwenye mbio za mwenge aisee yaani humuhurumii mama yako mimba yako alibakwa chooni alikuwa amelewa siku ya kukuzaa wewe alikuwa bar chooni ukatoka wewe ukaangukia chooni mbar ndiyo maana huna akili ya kupambanua mambo akiliyako bado inanuka mkojo wa pombe
Lissu anasemaje? Naona yuko kimyaa au kasusa
Haki za binadamu kwanza vingine ufuata.Sijamuelewa anaposema ulaya wananchi hawana haki ya kupata huduma za afya, maji,...,
Kuna chama kisichokuwa na sera ya kuwaletea maendeleo wananchi?