CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

Mtoa hoja usipotoshe watu, Chadema imemuandikia Msimamizi wa Uchaguzi Mbeya na sio Tume ya Taifa ya Uchaguzi.Unavyoonekana hujui unachozungumzia ila kwa kifupi Uchaguzi wa Serikali za Mitaa hausimamiwi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
 
Watu wanahujumu uchaguzi wenyewe, wanajitangaza wenyewe kuwa wameshinda kwa kishindo badala ya kusherehekea ushindi wao kwa furaha wanakosa furaha ya kusherehekea ushindi wao, si waache kutenda maovu yao wakatende mema ipasavyo wakabaki na furaha yao kuliko kuwashirikisha wenzao dhambi ambayo hawakushiriki kuitenda?.
 
Nilikuwa natafuta neno "Mkome" ila sijaliona [emoji2960]
 
Barua imeandikwa kwa Msimamizi wa Uchaguzi na siyo Tume. Wahusika wanaelewa tatizo mashabiki aidha kwa kutoelewa Sheria, Kanuni na Taratibu za chaguzi au kwa kuelewa na kuamua kupotosha. Tuendelee kuwaelimisha.
 
Jamani jamani kweli nimeamini ujinga ni mzigo yaani chama cha wasomi kama chadema hamjui kama malalamiko ya uchaguzi wa serikali za mitaa mpeleke kwenye mamlaka gani??? Kweli mnatia hurumaaa[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Kwani hiyo ni barua ya malalamiko..?
 
Back
Top Bottom