Tetesi: CHADEMA yameguka, Msigwa na Tundu Lissu wanapanga kuanzisha chama chao

Wengine tulishauri zamani...

Tundu Lissu hawezi kufikia peak yake akiwa Chadema...

Kile ni chama cha kikabila...

Na hilo atalijua akithubutu kupingana na Mbowe hadharani...

Atashangaa matusi yanatoka kwa watu wa eneo moja tu la nchi.
Point.

Nasikia ashapata kiwewe, woga na wasiwasi, kila anapoona watu ambao hawajui. Akiwa Jukwaani amesema kuna watu wanamfuatilia. Watu wasiojulikana-Red Brigade?
 
Ccm mmechachamaaa
 
Nitawaunga mkono Kwa nguvu zote
 
Sisiemu wana biashara gani na Taifa tangia tupate uhuru wa benders hawataki kuachia wengine!!!
 
Hamchoki na craps?
 
Watanzania wengi Tupo na Lisu, kianzishwe chama ambacho kitasaidia kugawa wanachama ili nusu wabakie chadema, na nusu nyingine waende "CHAMA CHA DEMOKRASIA HALISI"-CCDH.
 
Jf siku hizi bana, imekuwa na watoto wadogo kifikra. Hivi Lissu na Msigwa wanaweza kuanzisha chama? Kama Lissu kapigwa risasi mchana na hakuna mtz aliejaribu hata kuandamana leo ataanzisha chama? Angalia Kenya alivypigwa risasi Sheikh Rogo palipowaka. JF ya sasa humjui Professor wala mshona viatu, wote wanaleta tetesi tetesi tu
 
Nusu mkate, yeye; kinachotajwa kama pesa chafu toka kwa mama abdul, yeye. Lakini kuna wajinga wengi wanaimba hanunuliki.
They have something in Common.

Abduli=Abubakar

Mkate Mbowe hautemi....halal
 
Watoto waliozaliwa wakati anaingia kwenye uenyekiti wa CHADEMA leo hii wanagraduate chuo kikuu yeye yupo tu!.
Mkuu Mbowe ana miaka 30 kwenye uenyekiti. Mtu wa miaka 30 hayuko chuo kikuu. Ashamaliza chuo muda mrefu na kufanya bodaboda mpk anakaribia kustaafu.
 
Mkuu Mbowe ana miaka 30 kwenye uenyekiti. Mtu wa miaka 30 hayuko chuo kikuu. Ashamaliza chuo muda mrefu na kufanya bodaboda mpk anakaribia kustaafu.
ccm ipo miaka mingapi madarakani?
 
Lissu sio Sheikh. Haijalishi

Ni nani kutoka CHADEMA ambao walioenda kuandamana na kutolea mfano wengine? Hakuna!

Maandamano(protest) sio lazima yawe ya watu wengi- angetokea Lema ama Heche na wengine basi...labda. Hata hivyo hakuna mtu mwenye akili timamu ataenda kuandamana na kuunga mkono uasi na usaliti.

Wacheni kututukana Wananchi kwa kujilinda kwetu
 
Huo ni uooongooo🫠
 
Umaarufu wameupatia chadema.

Usiitupe ngazi iliyokupandisha juu,

All in all wote wana njaa tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…