Tetesi: CHADEMA yameguka, Msigwa na Tundu Lissu wanapanga kuanzisha chama chao

Kama Lissu msaliti mbona wanakaa meza moja na Rais wa nchi? Unajua maana msaliti ? acha ujuha wewe
 
Tatizo siyo chama kuishi miaka mingapi, tatizo ni Mbowe kuwa mwenyekiti kwa miaka 30. Chama kinaeeza kuishi hata miaka 100.
Hata mtu anaweza kukaa zaidi ya miaka 40. Soma historia . babayako papa wa vatican anaongoza miaka mingapi?
 
Basi sawa ngoja tuombe uhai tuone
 
Point.

Nasikia ashapata kiwewe, woga na wasiwasi, kila anapoona watu ambao hawajui. Akiwa Jukwaani amesema kuna watu wanamfuatilia. Watu wasiojulikana-Red Brigade?
What do you mean,mbowe is planning assassination to him?
 
Mzee wa 'Mfumo Kristo' porojo nyingine huziwezi...baki kulekule kwenye kufia dini, hizi mwachie Lucas Msambwanda.
 
Hata mtu anaweza kukaa zaidi ya miaka 40. Soma historia . babayako papa wa vatican anaongoza miaka mingapi?
Vyama vya siasa vya kidemokrasia haviendeshwi hivyo. Kama mnataka iwe hivyo badilini jina kiitwe"Chama cha Kikomunidti", ili Mbowe awe Xi Jing Ping wenu.
 
Vyama vya siasa vya kidemokrasia haviendeshwi hivyo. Kama mnataka iwe hivyo badilini jina kiitwe"Chama cha Kikomunidti", ili Mbowe awe Xi Jing Ping wenu.
kwa hivyo unaamanisha na CCM tuitoe ishakaa sana madarakani?
 
Wangemchukua Slaa na wakili Mwambusi
Hapana,wamchukue wakili mwabukusi kwenye chama Chao watafaulu kupata wafuasi.

Slaa ni Mfa Njaa tuh.

Nashauri jina la chama Chao liitwe Tanzania Economic Liberators
 
Mzee wa 'Mfumo Kristo' porojo nyingine huziwezi...baki kulekule kwenye kufia dini, hizi mwachie Lucas Msambwanda.
Kufia dini ni ibada ya maisha hatuwezi kuiacha,lakini hata hiki chaka kikifa SI ni vizuri vile vile Kwa kuwa ni chama cha udini na UKABILA.
 
Tunamuingelea Mbowe kama mtu, huyu ndiyo atoke. Usultani wake hautakiwi ktk vyama vya demokrasia
wana utaratibu wao katika chama chao, wewe kama mwanachama tumia fursa hio ya kikatiba kumuondoa, wewe kama CCM waache wenyewe waongozwe,
 
wana utaratibu wao katika chama chao, wewe kama mwanachama tumia fursa hio ya kikatiba kumuondoa, wewe kama CCM waache wenyewe waongozwe,
Mbowe kakiuka misingi na taratibu za chadema ndiyo maana Msigwa analalamika
 
Why CCM tangu uhuru mnang'ang'ania madaraka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…