Tetesi: CHADEMA yameguka, Msigwa na Tundu Lissu wanapanga kuanzisha chama chao

Mbowe pekee ndie anaweza kuongoza upinzani. Wengine wote ni bure kabisa. Na ccm inamuogopa sana Mbowe na inatamani sana Mbowe ang'atuke na ndio itakuwa kwa heri upinzani. Ni rahisi tu mwenye akili kuona Mbowe aking'atuka tu upinzani kwa heri. ccm wanatamani itokee hilo
 
Sometimes tunampa maua yake maana kupambana na CCM yahitaji uwe shujaa,na hiyo siyo kwake tuh,tumeona hata Kwa Lipumba na marehemu Seif Shariff.

Sometimes tunapata mawazo kuwa may be Mangi ni Double Agent...
Mtoe Lipumba, ila Seif Sharif Hamad uko sahh kabisa...Mzee alipambana haswaa hadi anaingia kaburini!.
 
Wengine tulishauri zamani...

Tundu Lissu hawezi kufikia peak yake akiwa Chadema...

Kile ni chama cha kikabila...

Na hilo atalijua akithubutu kupingana na Mbowe hadharani...

Atashangaa matusi yanatoka kwa watu wa eneo moja tu la nchi.
Thibitisha ni wapi na lini kisu amepingana na mbowe mawazo kizani badala uwaze utajengaje chama chako unawaziawenzio mabaya ila mimi ninajua mbowe huwa hajawahi jibu mpuuzi hata siku moja yeye anasonga mbele alipokea chama kikiwa kichanga amekiongoza hadi kimekuwa cha imara kinachosumbua chama tawala kwa ccm kimejiaribu kwa kugawa bandari huku mtaani maisha magumu hela hakuna kodi zimekuwa Rundo kushawishi ni ngumu
 
Sasa mtu wa CDM atalalamika hadharani juu ya Mbowe atabaki bado mwanachama.

CCM wako mikono salama Mbowe akiwa Mwenyekiti wa CDM ni rahisi kuongea nae na kulegeza misimamo kama ulivyoona kwenye maridhiano lakini sioTundu Lissu atawasumbua Sana.

Waliompiga risasi walilijua hilo ni rahisi kumtishatisha Mbowe kwa maneno na biashara Zake lakini kwa Tundu ni tofauti labda risasi Tu sio maneno atakuaibisha haraka sana.

Tundu pia anajicho lakuona mbele haraka Sana kitatokea nini na ndio maana alipinga maridhiano mapema sana lakini Mbowe aliendelea nayo baadae Sana alikuja kugundua Tundu alikua mkweli na alikua sahihi. Shida ya Tundu hataki kupindisha mambo na kuwa mnafiki hata unapohitajika unafiki na Hiyo ndio tabia ya wanasiasa kutokua wakweli.
 
Kama Lissu msaliti mbona wanakaa meza moja na Rais wa nchi? Unajua maana msaliti ? acha ujuha wewe
Mkuu. Naomba usinilishe maneno Pili, nadhani umekurupuka tu kwa uchawa wako kwa Tundu Lissu... Nikuulize, ni wapi hapa πŸ‘‡πŸΏnimemtaja Tundu lissu?

Najinukuu '

"Hata hivyo hakuna mtu mwenye akili timamu ataenda kuandamana na kuunga mkono uasi na usaliti"

...
kukujibu swali lako kama najua maana ya Msaliti? Ndio

Je, na wewe unajua maana ya Usaliti?

acha ujuha
 
That's true, it's called controlled opposition, left and right wings for the same Bird.
 
Tatizo siyo chama kuishi miaka mingapi, tatizo ni Mbowe kuwa mwenyekiti kwa miaka 30. Chama kinaeeza kuishi hata miaka 100.
Muulize Zubeir kabwe alitamani kuongoza chadema akifikiri umaaruwake anao yeye mwenyewe kumbe anabebwa na chadema amehasi ameanzisha chama chake kasha choka na hawiki tena chama kasha kabidhi visiwani lakini mbowe bado yuko imara chama kina mizizi tangu ngazi za vitongoji na lisu na msingwa wanajitambua vema hawezi waza hayo ila uzuri chadema kuna demokrasia huwezi kuchukuliwa hatua kama ccm pale unapokuwa na mawazo tofauti ccm ukihoji hata risasi unalambwa
 
Propaganda tu za Lumumba.

Tundu Lissu na Msigwa siyo wajinga. Wanajua kabisa kuwa wakitoka CDM huo utakuwa ni mwisho wao kisiasa. Na kama wataanzisha chama basi kitakuwa ni chama cha briefcase. Kama watatoka watakiyumbisha chama kidogo tu lakini kitasurvive na kuibuka kikubwa zaidi.

Yaani chama ambacho kiko likely kufa nchi hii ni CCM na si CDM .... CCM kwa sasa kinasurvive kwa ajili ya dola tu.
 
Mtu mwenye Sigda kubwa kama wewe kuwa muongo ni kumuaibisha Allah
 
Mbowe pekee ndie anaweza kuongoza upinzani. Wengine wote ni bure kabisa. Na ccm inamuogopa sana Mbowe na inatamani sana Mbowe ang'atuke na ndio itakuwa kwa heri upinzani.
Lissu anaogopwa sana na ccm kuliko Mbowe, hilo halihitaji mjadala.
 
Madhara ya Mbowe kwa Taifa ni madogo kuliko ya ccm iliyokaa madarakani tangu uhuru.
 
Unatumia kipimo gani kwamba tunachoongea sisi ni upuuzi na Ujinga?. Na kwamba wewe sio mpumbavu na mjinga?. Mtu asie mpumbavu na mjinga hawezi kukimbia hoja na kukimbilia ku-comand hoja zake ndio zenye mantic. Naona umepanick mzee?. Sindano imeingia. Mbowe ni bonge moja la kiongozi.
 
Anaeamini katika wizi, uonevu, dhulma huyo ndio mpuuzi asiye na humanity yaani hana tofauti na fisi ubinafsi ndio his priorities wala hajali madhara ya huo ubinafsi kwa wengine.
 
πŸ˜€πŸ˜€
Nipanick kisa mbowe na chama kisichojua kinataka nini. Nimekujibu wewe na wenzako ambao mnamtegemea mtu mmoja kwenye uongozi lakini wengine wakifanya hivyo mnaita machawa.

Hata wewe ni bonge moja la kiongozi kuliko huyo unayemsifia, ni kwa sababu tu hujapata hiyo nafasi kutokana na kuamini kwamba huyo anayekuongoza ndo anastahili kuwa kiongozi peke yake.

Pamoja na kutetea upuuzi ila unaweza kuwa kiongozi bora sana kuliko huo upuuzi unaoutetea.
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…