CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

Johnthebaptist ni wewe kweli umeandika maneno haya? Au ndo kubadili gear angani!
Kuna makada wengine wa CCM siyo kwamba wanakurupuka bali hawafikirii sawasawa wakati wa kufanya maamuzi.

Mbona bendera za Yanga na Simba zimezagaa kila kona katika manispaa ya ubungo na hatujasikia katazo lolote.

Binafsi nitamuona DED wa ubungo kidume kama atazishusha bendera za Yanga.......za Simba najua ataweza maana ni wahindi wala dengu wale.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kama polisi wameziondoa ni kwa sababu Chadema hawakutii amri waliyopewa ya kuziondoa (kama sikosei walipewa masaa 2) na bill itapelekwa kwenye chama chao wasilie tu wakati watakapotakiwa kulipa bill ya Polisi pamoja na faini.

BTW CCM walikuwa na mkutano wao kule Mwanza, leteni picha za bendera zao ili kuwa fair.
Ni marufuku kwa chama cha siasa kupeperusha bendera.
 
Kuna vitu vinafanyika nikama kuiongezea umaarufu chadema, havina maana yoyote
 
Tukiwaza nje ya boksi

Mlimani city ni eneo la biashara la kimataifa

Viongozi wa kimataifa wanaenda kupata huduma pale

Je itajenga picha gani?

Kwanini wasingesogea pale mbagala kwa shigongo
Makonda ni mpumbavu sana aendelee tu na vibweka vyake one day he will rip what he sow
 
Sheria za matangazo msimamizi Ni jiji ambalo meya wake Ni wa chadema.Meya wao alitakiwa ahakikishe chadema wamelipa akajikausha kimya akafikiri hakuna atakayeyeona huo ukiukwaji
Ili miradi mulibebwa kwa kutepetesha mtindi utaongea kila pumba ccm munaiogopa chadema kuliko fahamu Zenu
 
Wamelipia? Isotoshe wanaweza kwenda Mahakamani kama wameonewa, mimi nakereka kuwaona hivyo wanaingilia uhuru wangu wa kuangalia, chadema OUT of Town!
Makonda ni mjinga wa wajinga dunia ni no wonder kaaiba jina la Mtu maana hana akili
 
Bendera vituko cna bongo c manguo tu hayo mbona bongo hakuna upinzani c jpm baba lao mpaka mwaka atakapo choka cc hatuna shida na vyama watanzania tuna shida na afya ; maji Safi , elimu ,ajira, miundo mbinu ,na siasa Safi kwenye vyama hko kumeja chuk ,na fitina wanakupongeza hadharan wanakutukana moyoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upinzani unaojengwa mioyoni mwa wananchi kwasababu ya matendo ya uonevu ndio itakayokiodoa chama cha siasa kinachotumia nguvu za dola
 
Niliwahi kushauri hawa polisi wetu ni kuwaacha waendelee na maisha yao wayapendayo kama mbuzi.
Wabunge wa upinzani tokea wakati wa Mkapa wamekuwa ndio wanaopigania maisha bora ya polisi waliokuwa wanaishi kwenye mabanda yaliyopitwa ubora hata na ya kuku, maslahi mabovu ya kazi kiasi cha idadi ya polisi kujiua kuwa kubwa na unyanyasaji.

Lakini haohao kujisikia fahari kuwatendea unyama wapinzani watumwapo na watawala wanao wanyanyasa. Hata mbwa hakubali kutumwa kumng'ata mtumishi anayemtengea chakula eti kwa vile kaambiwa kamata na mfuga mbwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama polisi wameziondoa ni kwa sababu Chadema hawakutii amri waliyopewa ya kuziondoa (kama sikosei walipewa masaa 2) na bill itapelekwa kwenye chama chao wasilie tu wakati watakapotakiwa kulipa bill ya Polisi pamoja na faini.

BTW CCM walikuwa na mkutano wao kule Mwanza, leteni picha za bendera zao ili kuwa fair.
Bendera zilikuwepo kuzunguka jengo la ofisi za mkoa/kanda? na eneo lote la kipita kushoto cha jirani na ofisi zao.
 
Bendera vituko cna bongo c manguo tu hayo mbona bongo hakuna upinzani c jpm baba lao mpaka mwaka atakapo choka cc hatuna shida na vyama watanzania tuna shida na afya ; maji Safi , elimu ,ajira, miundo mbinu ,na siasa Safi kwenye vyama hko kumeja chuk ,na fitina wanakupongeza hadharan wanakutukana moyoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa jinsi ulivyoandika elim huna wewe. Miundo mbinu ipi unayosema mvua kidogo jiji zima mnaishi kama samaki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom