mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Johnthebaptist ni wewe kweli umeandika maneno haya? Au ndo kubadili gear angani!
Kuna makada wengine wa CCM siyo kwamba wanakurupuka bali hawafikirii sawasawa wakati wa kufanya maamuzi.
Mbona bendera za Yanga na Simba zimezagaa kila kona katika manispaa ya ubungo na hatujasikia katazo lolote.
Binafsi nitamuona DED wa ubungo kidume kama atazishusha bendera za Yanga.......za Simba najua ataweza maana ni wahindi wala dengu wale.
Maendeleo hayana vyama!