mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Kuna makada wengine wa CCM siyo kwamba wanakurupuka bali hawafikirii sawasawa wakati wa kufanya maamuzi.
Mbona bendera za Yanga na Simba zimezagaa kila kona katika manispaa ya ubungo na hatujasikia katazo lolote.
Binafsi nitamuona DED wa ubungo kidume kama atazishusha bendera za Yanga.......za Simba najua ataweza maana ni wahindi wala dengu wale.
Maendeleo hayana vyama!
Ni marufuku kwa chama cha siasa kupeperusha bendera.Kama polisi wameziondoa ni kwa sababu Chadema hawakutii amri waliyopewa ya kuziondoa (kama sikosei walipewa masaa 2) na bill itapelekwa kwenye chama chao wasilie tu wakati watakapotakiwa kulipa bill ya Polisi pamoja na faini.
BTW CCM walikuwa na mkutano wao kule Mwanza, leteni picha za bendera zao ili kuwa fair.
Wapi?Ni marufuku kwa chama cha siasa kupeperusha bendera.
DED wa Ubungo anajuaWapi?
Sasa umeshindwa nini kumuuliza?DED wa Ubungo anajua
We vipi, umeona kuna alama ya kuulia kwenye sentensi zangu?Sasa umeshindwa nini kumuuliza?
Makonda ni mpumbavu sana aendelee tu na vibweka vyake one day he will rip what he sowTukiwaza nje ya boksi
Mlimani city ni eneo la biashara la kimataifa
Viongozi wa kimataifa wanaenda kupata huduma pale
Je itajenga picha gani?
Kwanini wasingesogea pale mbagala kwa shigongo
Ili miradi mulibebwa kwa kutepetesha mtindi utaongea kila pumba ccm munaiogopa chadema kuliko fahamu ZenuSheria za matangazo msimamizi Ni jiji ambalo meya wake Ni wa chadema.Meya wao alitakiwa ahakikishe chadema wamelipa akajikausha kimya akafikiri hakuna atakayeyeona huo ukiukwaji
Makonda ni mjinga wa wajinga dunia ni no wonder kaaiba jina la Mtu maana hana akiliWamelipia? Isotoshe wanaweza kwenda Mahakamani kama wameonewa, mimi nakereka kuwaona hivyo wanaingilia uhuru wangu wa kuangalia, chadema OUT of Town!
Bendera zilikuwepo kuzunguka jengo la ofisi za mkoa/kanda? na eneo lote la kipita kushoto cha jirani na ofisi zao.Kama polisi wameziondoa ni kwa sababu Chadema hawakutii amri waliyopewa ya kuziondoa (kama sikosei walipewa masaa 2) na bill itapelekwa kwenye chama chao wasilie tu wakati watakapotakiwa kulipa bill ya Polisi pamoja na faini.
BTW CCM walikuwa na mkutano wao kule Mwanza, leteni picha za bendera zao ili kuwa fair.
Ni uwendawazimu unawasumbua. Hakuna sheria iliyovunjwa lakini kwa ujinga tu, wanaamini kauli zao ndiyo sheria.Tii sheria bila shuruti.
Kwa jinsi ulivyoandika elim huna wewe. Miundo mbinu ipi unayosema mvua kidogo jiji zima mnaishi kama samakiBendera vituko cna bongo c manguo tu hayo mbona bongo hakuna upinzani c jpm baba lao mpaka mwaka atakapo choka cc hatuna shida na vyama watanzania tuna shida na afya ; maji Safi , elimu ,ajira, miundo mbinu ,na siasa Safi kwenye vyama hko kumeja chuk ,na fitina wanakupongeza hadharan wanakutukana moyoni
Sent using Jamii Forums mobile app