Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Kuna mtu aliwahi kusema, " I suppose it is tempting, if the only tool you have is a hammer, to treat everything as if it were a nail"
Kutumia manguvu mengi hata kwa mambo ya kijinga jinga tu. Aisee miafrika! Ovyo sana.
Ndio kama sio Ofisi ya Chama au tawiKwani mtu akiweka bendera sehemu anatakiwa kulipia kama matangazo mengine?
Sent using my 6x6 bed.
Fahari ya mzee ni mvi zake na fahari ya kijana ni nguvu zake. Yeye kashindwa kutumia hekima na marifa ake badala ameamua kutumia madaraka ake kugandamiza wengine ili yeye apate shiba.Kumshambulia mama mtu mzima km huyo ni kujitakia balaa tu
Mimi najitenga hapo
Tuwaheshimu mama zetu
Fahari ya mzee ni mvi zake na fahari ya kijana ni nguvu zake. Yeye kashindwa kutumia hekima na marifa ake badala ameamua kutumia madaraka ake kugandamiza wengine ili yeye apate shiba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bendela za nini wakati sio himaya ya chama ,wakaweke makao makuu yao au kwenye matawi na ofisi za chama
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaamini hizo bendera zikitolewa basi ndiyo njia ya kukomesha mafuriko jijini
Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema imeimarika zaidi na watawala wanaiogopaZimeanza bendera kuwekewa ribiti na Halmashauri ya Ubungo, na kwa vile mkoa nao haujaingilia kati kama wakati wa marufuku ya Sophia Mjema na ibada za kila siku basi mkoa umeridhia kuwa bendera za Chadema ni tishio kupepea kwa tashwishwi eneo lote la Mlimani.
Hizo ndio figisu za utawala dhidi ya Chadema, lakini figisu hizo ndizo zinaipaisha Chadema kila siku.
Nawaomba wakae chonjo, kwa figisu za namna hiyo wasije kushangaa kesho kuwakuta Polisi wametapakaa eneo la Mlimani city na maagizo kuwa wakachukue fedha zao maana ukumbi umepata shughuli zingine.
Waandae kabisa plan B iwapo hilo litatokea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka wasifu wa nini, mbali ya kujua kwamba huyo ndie atakayesimamia uchaguzi. Hapo mna kitu kweli?Kufahamu wasifu wa mtumishi halali wa umma hakujawahi kuwa mashambulizi hata mara moja