CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

And this is exactly what they're doing!
Kuna mtu aliwahi kusema, " I suppose it is tempting, if the only tool you have is a hammer, to treat everything as if it were a nail"
Kutumia manguvu mengi hata kwa mambo ya kijinga jinga tu. Aisee miafrika! Ovyo sana.

Sent using my 6x6 bed.
 
Zimeanza bendera kuwekewa ribiti na Halmashauri ya Ubungo, na kwa vile mkoa nao haujaingilia kati kama wakati wa marufuku ya Sophia Mjema na ibada za kila siku basi mkoa umeridhia kuwa bendera za Chadema ni tishio kupepea kwa tashwishwi eneo lote la Mlimani.

Hizo ndio figisu za utawala dhidi ya Chadema, lakini figisu hizo ndizo zinaipaisha Chadema kila siku.

Nawaomba wakae chonjo, kwa figisu za namna hiyo wasije kushangaa kesho kuwakuta Polisi wametapakaa eneo la Mlimani city na maagizo kuwa wakachukue fedha zao maana ukumbi umepata shughuli zingine.

Waandae kabisa plan B iwapo hilo litatokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Besta Mlagila, CCM ni kiwanda na hii ndio product yao[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Watu hawajala tangu asubuhi sababu ya Mvua alafu kuna bidhaa ya campuni huku inasumbua watu ambao ata mvua inyesheje bado watafanya walilo kusudia!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zimeanza bendera kuwekewa ribiti na Halmashauri ya Ubungo, na kwa vile mkoa nao haujaingilia kati kama wakati wa marufuku ya Sophia Mjema na ibada za kila siku basi mkoa umeridhia kuwa bendera za Chadema ni tishio kupepea kwa tashwishwi eneo lote la Mlimani.
Hizo ndio figisu za utawala dhidi ya Chadema, lakini figisu hizo ndizo zinaipaisha Chadema kila siku.
Nawaomba wakae chonjo, kwa figisu za namna hiyo wasije kushangaa kesho kuwakuta Polisi wametapakaa eneo la Mlimani city na maagizo kuwa wakachukue fedha zao maana ukumbi umepata shughuli zingine.
Waandae kabisa plan B iwapo hilo litatokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chadema imeimarika zaidi na watawala wanaiogopa
 
Kufahamu wasifu wa mtumishi halali wa umma hakujawahi kuwa mashambulizi hata mara moja
Unataka wasifu wa nini, mbali ya kujua kwamba huyo ndie atakayesimamia uchaguzi. Hapo mna kitu kweli?

Wakati huu mngekuwa mnajenga hoja kwa ushahidi kama huu ulio wazi kukataa kabisa hawa watu wasimamie uchaguzi.
Hiyo mahakama imekwisha wapiga chini, mnazo mbinu gani zaidi ya hapo?

Utaingiaje kwenye uchaguzi ukijua wazi huna utakachoambulia kwa sababu ya uwepo wa watu kama hawa?

Erythro haya ndiyo maswali yanayohitaji kufanyiwa kazi mara tu baada ya kuwapata viongozi wenu wapya.
 
Niliwahi kusema muda sana na nimekuwa nikisema, jiwe anawaonea wivu cdm kwa jinsi wanavyokubalika na wananchi, na ndio sababu hasa amepiga marufuku vyama vya siasa kufanya kazi za siasa nchi nzima kwani anajua fika cdm wanakubalika, na hilo linamuumiza sana roho yake. Alitamani jinsi cdm inavyokubalika ndio iwe yeye na ccm. Namna pekee ameami kutumia nguvu kubwa na uonevu wa wazi dhidi ya cdm, akidhani akiiua cdm basi automatically watu wataipenda ccm, kitu ambacho hakiwezekani.
 
Back
Top Bottom