Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
DED ndo anawaendesha Chadema?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona za ccm mpaka vyooni?Hilo ni eneo la kibiashara lisigeuzwe la kisiasa
Watu kutoka mataifa mbali mbali wanafika pale
Je itajenga picha gani kwa Nchi yetu?
Tuache siasa
Bila Polisi ccm ni wepesi kuliko pamba
Lakini pia yeye mwenyewe kama anataka kuheshimiwa anapaswa.kujiheshimu kwanzaKumshambulia mama mtu mzima km huyo ni kujitakia balaa tu
Mimi najitenga hapo
Tuwaheshimu mama zetu
Nimekufuata Mwanza kumbe uko Dar tena??
Ipi mkuu?
Kwahiyo huo upinzani wa uongo mnauogopa mnakimbia box la kura!!Ni kweli yataisha mwaka 3065 wakati tutakuwa na upinzani wa maana!
Imesharudi mkuu ipo Dar
Mama "mpumbavu" kama huyo anafaa kushambuliwa na kila binadamu mwenye akili timamu.Kumshambulia mama mtu mzima km huyo ni kujitakia balaa tu
Mimi najitenga hapo
Tuwaheshimu mama zetu
Duh. Kweli ccm na sungusungu wao polis ni laana ya inchi hiiBendera zilizopo karibu na ukumbi wa Mlimani City wanapokutana Baraza la kuu la CHADEMA zimeshushwa
Mwananchi:
My take: Kesho huenda mkutano usiendelee,kwa zuio la polisi ambalo linaenda kuandaliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna siku atakuja mtu atapitia receipts zote TBC kuona kiasi kilicholipwa kwa TBC kurusha mikutano yote. Ikikosekana CCM wanaweza kupewa bill bayo hawataweza kulipa hivyo majengo na biwanja vyao vyote kutaifishwa.Tii sheria bila shuruti.