LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Hapo msajili atakuwa kiiimya kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kabisa, ndiyo hao viongozi "vichaa" anaowapenda Jiwe, ambao yeye mwenyewe amesema kuwa anawateua "vichaa" wenziwe, katika nafasi mbalimbali za uteuzi
Huyu hata watoto wake watalipa. wajiandaeYaani wewe mtu akikuudhi tu unaomba kujua cv yake
Kiboko yako ni karujugumli alikutoa machozi
Sheria za mazingira serikali za mitaa inakataza kupeperusha hovyo mibendera bila kibali cha mkurugenzi,muulize mayor wako savimbi analijua hilo
Kuisigina waziwazi Katiba ya nchi na Rais akakaa kimya na asifanye lolote, ndipo hapo tutakapojua kuwa nchi hii haiendeshwi tena na Katiba ya nchi
Mabeberu si ndio wanaotengeneza Ndege za CCM huko CANADA mkuu?Kesho Mkutano Mkuu , tumealika mabeberu wote .
Chadema walifikili mlimani city ni ufipa watajuta sana
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mdau humu alisema masikio yote yameelekezwa Mwanza kwenye vikao vya CCM lakini nashangaa mada zote humu ni CHADEMA tu.Bendera zilizopo karibu na ukumbi wa Mlimani City wanapokutana Baraza la kuu la CHADEMA zimeshushwa
Mwananchi:
My take: Kesho huenda mkutano usiendelee,kwa zuio la polisi ambalo linaenda kuandaliwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ajili Mkulu alishatangaza waziwazi kuwa anawateua "vichaa" wenzake, kwa hiyo sitashangaa kuwa huyo DED akapandishwa cheoAtapandishwa cheo,2020 haitoisha,mkulu anataka watu wa aina hiyo!!
Tunajua kuwa Katiba ndiyo sheria mama ya nchi yoyote, na kwa kuwa nchi yetu inaendeshwa kwa mfumo wa kidemokrasia na ni ya mfumo wa vyama vingi, kwa hiyo ni muhimu watendaji wakaitii na kuiheshimu Karltiba ya nchi