CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

CHADEMA yapewa saa mbili kuondoa bendera zake kwenye barabara ya Sam Nujoma eneo la Mlimani City. Polisi yafika kushusha bendera hizo

Hao ndio ANKALI anawataka,Usijeshangaa DED akapandishwa Cheo akapewa Makamu Mwenyekiti wa NEC.
 
Wanasema wao ndio wenye mamlaka ya kuendeleza hilo eneo, hivyo kodi zinazutumika ni za wana ccm tu na sio cdm
 
Bendera zilizopo karibu na ukumbi wa Mlimani City wanapokutana Baraza la kuu la CHADEMA zimeshushwa

Mwananchi:

My take: Kesho huenda mkutano usiendelee,kwa zuio la polisi ambalo linaenda kuandaliwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mdau humu alisema masikio yote yameelekezwa Mwanza kwenye vikao vya CCM lakini nashangaa mada zote humu ni CHADEMA tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atapandishwa cheo,2020 haitoisha,mkulu anataka watu wa aina hiyo!!
Kwa ajili Mkulu alishatangaza waziwazi kuwa anawateua "vichaa" wenzake, kwa hiyo sitashangaa kuwa huyo DED akapandishwa cheo
 
Bado unaamini upo kwenye nchi inayoongozwa ki demokrasia?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunajua kuwa Katiba ndiyo sheria mama ya nchi yoyote, na kwa kuwa nchi yetu inaendeshwa kwa mfumo wa kidemokrasia na ni ya mfumo wa vyama vingi, kwa hiyo ni muhimu watendaji wakaitii na kuiheshimu Karltiba ya nchi
 
Back
Top Bottom