Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
vita ya maneno ya kisiasa samtimes inpandisha na kushusha stress sana dah 🤣Dr Nchimbi: Mnyika anaogopa hata Panya 😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vita ya maneno ya kisiasa samtimes inpandisha na kushusha stress sana dah 🤣Dr Nchimbi: Mnyika anaogopa hata Panya 😀
Kama unajiamini basi toa pua yako ukaandamane katika maandamano haramu.Wewe ni mchochezi tangu awali kwenye hili kama ni uchunguzi ulifaa uanzie kwako.
Tutaheshimiana tu siku hiyoYes,
tukutane kwenye usafi, hiyo ni muhimu sana,
lazma jiji liwe safi aisee 🐒
hivi hayo maandamano yataongozwa na yule jamaa anaeogopa hadi panya pale chadema?🤣Vipi mbwa wa Mama wa Kizimkazi wataendelea kubweka?😂
na yule kiongozi anaeogopa hadi panya atakuwepo kweli?🤣Tutaheshimiana tu siku hiyo
Na wafanya usafi itawalazimu kujiunga kwa raia kwenye maandamano
We jamaa ni mjinga sanaHakuna mwana CHADEMA yeyote yule atakaye toa pua yake kuingia barabarani. maandamano yatakuwa Twitter na kuishia huko huko.
Hiyo ni kauli toka kwa mfa maji .........na yule kiongozi anaeogopa hadi panya atakuwepo kweli?🤣
Mpaka sasa Kwenye uzi huu Wauaji wako watatuWewe ni mchochezi tangu awali kwenye hili kama ni uchunguzi ulifaa uanzie kwako.
Tulia muda ufike acha kiherehereKama unajiamini basi toa pua yako ukaandamane katika maandamano haramu.
Kama Mwanaume basi toa pua yako uje uandamane.kwa hakika utakiona cha mtema kuni.We jamaa ni mjinga sana
Sawa nimetulia nataka kuona kama utatoa pua yako barabaraniTulia muda ufike acha kiherehere
Mkuu utakuwepo kwenye maandamano?Jipangeni kuua kama mlivyoelekezwa, Lakini Shetani hajawahi kumshinda Mungu
Unakaribishwa kushiriki maandamano ya amani kwa mstakabali wa amani ya nchi!hivi hayo maandamano yataongozwa na yule jamaa anaeogopa hadi panya pale chadema?🤣
Mbwembwe za Ufipa st 🐼
Hakuna mwana CHADEMA atakaye andamana hata wawanyweshe pombe kali kwa lazima😀😀Kama yale maandamano yaliyopita yaliyotangazwa nchi nzima na mbowe na yakaruhusiwa ila tulikua tunaandamana watu 21 tu je haya ambayo tayari polisi wamepiga mkwara tutakua wangapi?
Mara zote nikiwa Tanzania nakuwa Mstari wa Mbele, na kwa ratiba ya sasa bila shaka nitakuwepoMkuu utakuwepo kwenye maandamano?
Hawa Mamluki wanadhani wako salamaKwani wewe huchukizwi na teka teka hizi?