CHADEMA yatangaza Kupuuza Tamko la Jeshi la Polisi, Maandamano yako Pale pale

Kama yale maandamano yaliyopita yaliyotangazwa nchi nzima na mbowe na yakaruhusiwa ila tulikua tunaandamana watu 21 tu je haya ambayo tayari polisi wamepiga mkwara tutakua wangapi?
 
hivi hayo maandamano yataongozwa na yule jamaa anaeogopa hadi panya pale chadema?🤣
Unakaribishwa kushiriki maandamano ya amani kwa mstakabali wa amani ya nchi!
 
Kama yale maandamano yaliyopita yaliyotangazwa nchi nzima na mbowe na yakaruhusiwa ila tulikua tunaandamana watu 21 tu je haya ambayo tayari polisi wamepiga mkwara tutakua wangapi?
Hakuna mwana CHADEMA atakaye andamana hata wawanyweshe pombe kali kwa lazima😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…